Save hii tarehe ! December 11 2015 zinatolewa Tuzo Tanzania.. Magazeti, TV,
Naambiwa December 11 2015 ndio itakua siku yenyewe ya Viongozi/Wafanyabiashara na Taasisi mbalimbali kupewa tuzo za kutambua mchango wao kwenye ishu mbalimbali walizozifanya kitofauti katika kuleta mabadiliko kwenye jamii ya…
Vitu vitano vya kufahamu kuhusu staa wa muziki, Shakira..!
Najua nina watu wangu ambao ni mashabiki wakubwa wa muziki wa Shakira na style zake za kucheza... licha ya kutengeneza jina kubwa kwenye soko la muziki Marekani na la dunia…
Moto wa Rais Magufuli umeendelea bandarini, wengine wamesimamishwa leo..
Mpaka leo hii December 07 2015 tunahesabu kama mwezi mmoja hivi umepita tangu Rais Magufuli aapishwe na aanze kazi ya Urais wa awamu ya tano Tanzania. Mfululizo wa stori zenye…
Magazeti ya Tanzania December 7 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 7 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Achana na kasi za Usain Bolt katika riadha, hii ndio Top 5 ya mastaa wa soka wenye kasi duniani …
Licha ya kuwa mchezo wa soka unahitaji ubunifu maarifa na ufundi, kasi pia ni moja kati ya kitu kinachomuongezea thamani mchezaji, kuna baadhi ya namba uwanjani uhitaji wachezaji wenye kasi…
Kwa jibu hili la Gareth Bale, huenda kukawa na beef kati yake na Cristiano Ronaldo, Cheki video …
Headlines kuhusu mwenendo wa klabu ya Real Madrid kwa sasa zinazidi kuchukua nafasi kila siku, ikimalizika ishu hii, inakuja hii, zilianza stori za wachezaji kuhusishwa kutomkubali kocha wa sasa wa…
Martin Skrtel kasababisha Liverpool kupokea kipigo St James Park dhidi ya Newcastle, Cheki (+Pichaz&Video)
December 6 ni siku ambayo mechi za Ligi Kuu Uingereza za weekend hii zilichezwa za mwisho, mchezo ambao ulikuwa una funga mechi za weekend ya December 6, ilikuwa ni mechi…
Makubwa 5 kutokea kwenye account za mitandao ya kijamii za mastaa wa bongo..(+Pichaz)
Kama kawaida nijukumu langu kuhakikisha nakusogezea kila tukio linalo nifikia, hapa nimekukusanyia post 5 kutoka kwa mastaa mbalimbali Bongo kupitia account zao kwenye mitandao ya kijamii leo Dec 6, 2015.…
Maofisa 7 wa TANESCO wamesimamishwa kazi kwa wizi na ubadhirifu wa mali za umma..(+VIDEO)
Moto wa Rais Magufuli umezidi kusambaa kila kona ya nchi, leo Dec 6, 2015 Shirika la umeme nchini (TANESCO) limetangaza kuwasimamisha kazi Maofisa wake 7 kutokana na makosa mbalimbali ya wizi na…
Baada ya kipigo cha Chelsea, Jose Mourinho akiulizwa swali kuhusu kufanya usajili atakujibu hivi …
Klabu ya Chelsea ya Uingereza usiku wa December 5 ilicheza mchezo wake wa 15 katika Ligi Kuu Uingereza dhidi ya klabu ya AFC Bournemouth katika dimba lake la Stamford Bridge, mchezo…