Licha ya ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Cadiz, Benitez kasababisha Real Madrid kutolewa Copa del Rey 2015, kisa ? …
Usiku wa December 2 kuamkia December 3 ulipigwa mchezo wa Copa del Rey ambapo klabu ya Real Madrid ya Hispania ilikuwa mgeni wa klabu ya Cadiz na kufanikiwa kuibuka na…
Hii ndio sababu pekee inayomfanya Alves kusema Ronaldo hakustahili kuwa katika tuzo za Ballon d’Or 2015 …
Headlines za wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Dunia kwa mwaka 2015 (Ballon d'Or) bado zinazidi kuchukua nafasi, kwa sasa kila mmoja amekuwa akitaja mshindi wake katika tuzo za…
Watuhumiwa wa kesi ya makontena 349 bandarini walivyofikishwa Mahakamani Dar leo (Picha)
Kama ulipitwa na hii stori iliripotiwa kwenye habari ya kituo cha ITV leo kuhusu ishu ya kufikishwa Mahakamani kwa watuhumiwa kutoka Mamlaka ya TRA ambao walisimamishwa kazi kutokana na kuhusishwa na…
Kasi ya Rais Magufuli haiko kwenye makontena Bandarini tu, imepita na TFF …
Ikiwa bado siku moja Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli atimize mwezi mmoja toka aapishwe kuwa Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano…
Nyumba za bei nafuu kwa kila Mtanzania!!NHC wamekuja na hii kauli kwa Serikali…
Taasis ya wahandisi Tanzania kwa kushirikiana na Shirika na nyumba la Taifa leo walifamya mkutano kubwa likiwa kuzungumzia mazingira endelevu na ujenzi wa nyumba za bei rahisi. Kikubwa kilichozungumziwa ni…
Ujio mpya wa Roma na Baghdad, hii ndio ngoma mpya wametuletea.. (+AUDIO)
Huu ni muunganiko wa wasanii wawili tokea hapa bongo Baghdad na Roma Mkatoliki ambapo leo Dec 4, 2015 wameachia rasmi ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la "Una akili wewe".…
Mpyampya kutoka kwa mkali mwenyewe, Hemedy PHD Feat. Mr. Blue- ‘Someday’ (Audio)
Kwenye wakali wa muziki ambao waliweza kubeba mataji ya kukubalika kwenye kona mbili tofauti za entertainment Tanzania, najua huwezi kuliacha jina la Hemedy PHD. Unajua sio kitu rahisi mtu akafanya…
New Good music kutoka kwa mtu wetu Belle 9 >>> #Kupenda (+AUDIO)
Mkali kutokea Morogoro Belle 9, amezidi kufanya poa katika sanaa ya muziki hapa nchini na hata kuvuka mipaka ya Afrika, baada ya kutamba sana na ngoma ya Shauri zao ambayo imezidi kufanya…
Zawadi za krismasi zimeanza kumfikia Floyd Mayweather hii imetoka kwa mashabiki wake (+Pichaz)
Siku zote unapoambiwa utaje list ya mastaa waliowahi kutamba katika mchezo wa ngumi, hauwezi ukaliacha jina la Floyd Mayweather mtu wangu. Staa huyo ambaye ni bingwa wa mchezo wa ngumi wa uzito…
Seyi Shay anaisambaza ‘Tina’ mpya kutoka kwenye album yake pembeni D’Banj – (Audio).
Kwenye headlines za burudani Nigeria jina la staa wa muziki Seyi Shay na midundo yake mipya kutoka kwenye latest Album yake, Seyi or Shay ni miongoni mwa stori zinazoongelewa sana…