Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa. Bridge…
Utani wa Baba Levo kuhusu ushamba wa wasanii wa bongo walipopanda ndege kwa mara ya kwanza (+audio)
Huyu jamaa ni mchekeshaji lakini pia msanii wa Bongo Fleva, ana story zake popote akikaa huwa zinamtoka tu na watu lazima watamsikiliza na ametusogezea hii ya utani kuhusu ushamba wa wasanii…
Magazeti ya Tanzania December 4 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo December 4 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Pichaz 25 za Birthday Party ya Simon Msuva wa Yanga na Dumy Utamu dancer wa Diamond Platnumz
December 3 ilikuwa ni siku muhimu sana kwa Simon Msuva winga mshambuliaji wa Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars pamoja na Dumy Utamu mkali wa kudance kutoka…
Serikali ya Rais Magufuli imeamua nini kuhusu ada za shule binafsi? Majibu yako hapa..(+VIDEO)
Hii ni taarifa kutoka Wizara ya elimu Tanzania kuhusu zuio la shule kupandisha viwango vya ada, hapa nimekusogezea video yenye maelezo kamili kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa usajili wa shule…
Zisikupite hizi stori kubwa 5 kutokea kwenye Amplifaya Dec 3, 2015
December 3, 2015 mkusanyiko wa stori kubwa kutokea kona mbalimbali za dunia zilikusanywa pamoja na kusikika kupitia Kipindi cha redio Amplifaya ya Clouds Fm, sasa basi kama zilikupita hii ni…
Kwa mwaka 2015, hizi ni ajali za Malori zilizonaswa kwenye video kwenye nchi za watu
Tuko mwezi December na tunaelekea kuumaliza mwaka 2015, ni vitu vingi sana ambavyo vitakua vimetunzwa kwenye kumbukumbu za mataifa mbalimbali duniani, na hii video hapa chini ni moja ya kumbukumbu zenyewe.. ikitukumbusha…
Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube…
Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo video mpya 5 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube. Zifuatazo ni video mpya za bongo zilizotoka 2015 ambazo…
Kala Jeremih na Timbulo walifanya kampeni za UKAWA, leo wameyasema haya kuhusu Rais Magufuli
Kala Jeremih pamoja na Timbulo ni wasanii ambao kwenye wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015 walikua kwenye upande wa CHADEMA na headlines za UKAWA, leo December 3 2015…
Top 5 za mastaa wa bongo kwenye mitandao ya kijamii leo Dec 3, 2015… (+PICHAZ)
Tayari nimekukusanyia Top 5 za post kutoka kwa mastaa mbalimbali hapa nchini leo Desember 3, 2015, na zote zote hizi ni kutokea Facebook, Twitter pamoja na Instagram. 1.NAPE NNAUYE (TWITTER) "Kufuatia…