Ukarabati uwanja wa Stamford Bridge utamalizika 2020, unaijua gharama yake? idadi ya mashabiki je?
Uwanja wa Stamford Bridge ni moja ya viwanja maarufu duniani katika mchezo wa soka, huu uwanja unamilikiwa na vigogo wa soka Chelsea. Uongozi wa klabu hiyo tayari umewasilisha maombi ya…
Wajue wasanii watano walioshika nafasi za juu kwenye ‘Top 50 Best Albums 2015’!
Kwenye list ya wasanii ambao mwaka huu umekuwa poa sana kwao, huwezi kuacha kumtaja Kendrick Lamar kwenye list yako... Nimekutana na stori kwenye mtandao wa Rolling Stone ambao wenyewe umeitaja…
Kutoka kiwanda cha nguo cha urafiki Dec 2,2015 kwenye mgomo wa wafanyakazi..(Picha)
Headlines za mgomo nazo zina uzito wake ambapo leo Dec 2,2015 wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha urafiki wamefanya mgomo kwa mara nyingine kwa madai ya kutolipwa ongezeko la mishahara yao…
Manne kutoka Wizara ya Afya >>> Milioni 500 za wagonjwa wa moyo, deni la MSD, mashine za CT Scan na MRI zimeanza kazi?…
Baada ya agizo la Rais John Magufuli kutembelea hospitali ya Taifa Muhimbili..aliagiza utekelezaji wa baadhi ya mambo ikiwemo mashine za CT Scan na MRI ambazo zilikuwa na matatizo kutengenezwa ili…
Mapato ya Album mpya ya Ty Dolla Sign kuishia Mahakamani?!
Msanii, Producer na mtunzi wa nyimbo kutoka Marekani, Ty Dolla Sign anaendelea kuziweka headlines kwenye chati mbalimbali za burudani na Album yake mpya 'Free TC', Album ambayo imekuwa topic kubwa…
Mdundo mpyampya #OnAIR… Young Killer Feat. Juma Nature- ‘Popote Kambi’ (+Audio)
Rapper mdogo anayewakilisha Rock City Mwanza, Young Killer 'Msodoki' amerudi kwa kuisogeza ngoma nyingine kali kwenye masikio yetu... Unajua Young Killer ni rapper mkali sana... na najua unaijua heshima aliyonayo…
Wasanii waliosikilizwa zaidi kwa 2015 watajwa, Drake, Rihanna na Fetty Wap wamo pia!
Mwaka wa 2015 umekuwa mwaka poa sana kwa rapper anaeunda kundi la Young Money, Drizzy Drake... baada ya kuisuka list ya Hot 100 Beatles kwa kuibuka kwenye nafasi ya juu…
Hekaheka ya mtoto wa miaka 9 alivyonaswa kaiba gari Dar.. (+Audio)
Hii stori ukiisikiliza unaweza usiamini lakini ndio hivyo imetokea Dar, mama wa mtoto huyo amesema mwanae alikuwa mtundu sana tangu akiwa mdogo.. alifanya kila jitihada kumdhibiti lakini hakufanikiwa chochote !!…
Future alipokea pesa na hakutokea kwenye show, promoter hajamuacha hivi hivi!
Mkurugenzi wa lebo ya Freebandz, Future Hendrix maarufu kwa jina la kisanii, Future anazianika headlines za leo baada ya taarifa kusambaa kuwa alilipwa pesa ya kufanya show lakini kufikia siku…
Mkubwa Fella kalifikisha tingatinga mpaka Kilungule kwake… kazi juu ya kazi !! (+Pichaz)
Kwa mara nyingine tena Diwani wa Kata ya Kilungule iliyopo Mbagala wilaya ya Temeke Dar es Salaam, Said Fella au kwa jina jingine ni Mkubwa Fella ameingia kwenye headlines za…