Vitu vitatu ulivyokuwa huvijui kuhusu Simon Msuva wa Yanga (+Audio)
Simon Happygod Msuva sio jina geni masikioni mwa wapenda soka wa Tanzania hususani wapenzi na mashabiki wa klabu ya Dar Es Salaam Young African. Simon Msuva ni mkali wa soka…
Ninayo stori ya Mwanamke wa kwanza kuupata Ubunge 2015 mkoa Mara…(Audio)
Kwa zaidi ya miaka hamsini jimbo la Tarime mkoa wa Mara limeongozwa na Wanaume kwa ngazi ya Ubunge , sasa time hii jimbo limeweka historia ya kuongozwa na Mwanamke Ester…
Top 10 ya post za mastaa wa bongo Desember 1, 2015 kwenye kurasa zao Instagram…
Najua kuna watu wangu wanapenda kufuatilia mambo yanayoendelea kwa mastaa wetu wa kibongo, Hapa nimekukusanyia Post 10 kutoka kwa mastaa tofouti walizoziweka katika account zao kwenye mitandaoya kijamii leo Desember 1,…
Baada ya Azam FC kumsajili Ivo Mapunda, Simba wamenasa saini ya nyota huyu wa Uganda …
Klabu za Ligi Kuu soka Tanzania bara zinazidi kuimarisha vikosi vyao kwa kutumia vizuri siku 14 zilizosalia kabla ya dirisha dogo la usajili la Ligi Kuu soka Tanzania bara halijafungwa December…
Camera zilivyomnasa mwizi akitaka kumuibia jamaa mwenye ujanja zaidi yake… (+VIDEO)
Pale ambapo jamaa anamvamia mtu katika ATM mashine kwa lengo la kumpora fedha zake na matokeo yake anaishia kuambulia kichapo tu, tukio hili limetokea katika mji wa Deyang nchini China.…
Mkubwa fella ameanza kazi yake ya udiwani Kilungule Mbagala…(Picha)
Tunafahamu kwasasa headlines za Uchaguzi zimekwisha na kilichobaki ni kutekelezwa kwa kile kichozungumza na wagombea mbalimbali. Sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Meneja wa TMK Family pamoja na Mkubwa…
Ni Alikiba kwa mara nyingine na mzigo wa siku tano ndani ya South Africa ..
Alikiba ndani ya South Africa,YES... hii sio safari ya kwanza kwenye siku za hivi karibuni japo safari za kwanza na hii ya sasahivi ziko tofauti kidogo.. Alikiba ana kazi nyingine…
Niyonzima, Tuyisenge na Kizimana washirikiana kuivua Ubingwa Kenya, Full Time ya CECAFA Dec 1 2015 …
December 1 hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Challenge 2015 iliendelea kwa timu ya taifa ya Rwanda ikiongozwa na mchezaji wa Dar Es Salaam Young African Haruna…
Reekado Banks anaisambaza kwako Official Video yake ‘Sugar Baby’ ..
Reekado Banks amerudi kwenye headlines na ngoma yake mpya Sugar Baby. Katika video hiyo ambayo imejaa matukio ya siku ya harusi pia ndani ameonekana staa wa muziki Nigeria Don Jazzy…
Sentensi 16 za Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mapato TRA kuhusu kontena zilizokamatwa Mbezi Dar.. (+Audio)
Kama uliipata stori ya Mamlaka ya Mapato TRA kunasa makontena tisa eneo la Tanki Bovu Mbezi Dar es Salaam, nina muendelezo wake mtu wangu kuhusu majibu ya TRA walivyonasa mzigo…