Kama Real Madrid watamuuza Cristiano Ronaldo, unajua Rafael Benitez atasemaje? …
Headlines nyingine za soka kutoka Hispania zinazo muhusu staa wa soka wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo na kocha wa klabu yake Rafael Benitez…
Waliomuua marehemu Alphonce Mawazo, Tuzo ya Mo, Mtikisiko TRA, Baba ateketeza familia..#MAGAZETINI
NIPASHE Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mohamed Enterprises, Mohamed Dewji maarufu kama MO, ameshinda tuzo ya “Mtu wa Mwaka” wa jarida maarufu la Fobes katika hafla zilizofanyika jijini, Johanesburg nchini…
Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania November 29, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Magazeti ya Tanzania November 29 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo November 29 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Man United yashindwa kuondoka na point 3 mbele ya Leicester City, matokeo ya EPL Nov 28 (+Pichaz&Video)
November 28 mtu wangu wa nguvu unayependa soka la Ulaya hususani Ligi Kuu Uingereza, ninazo headlines Za matokeo ya mechi za leo November 28, Ligi Kuu Uingereza November 28 imepigwa…
Kipigo cha Madrid cha 4-0, Barcelona wamekiamishia kwa Real Sociedad, Full Time ya LALIGA Nov 28 (+Pichaz&Video)
Mtu wangu wa nguvu November 28 zilipigwa mechi kadhaa kali barani Ulaya ila kwa upande wa Ligi Kuu Hispania mchezo wa kwanza kupigwa November 28 ulikuwa ni mchezo wa FC…
Marehemu Mawazo alivyoagwa na wana-CHADEMA Mwanza leo.. (Picha) #RIP
Taarifa iliyotolewa jana na viongozi wa CHADEMA Mwanza ilielekeza utaratibu wa siku tatu mfululizo mpaka mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Geita, Marehemu Alphonce Mawazo. Leo kuanzia asubuhi taratibu zilianza…
Hii ndio inatajwa kuwa Top 6 ya mastaa wa soka wenye hasira zaidi uwanjani (+Video)
Moja kati ya michezo inayoongoza kwa kuchukua headlines duniani ni mchezo wa soka ambao nchi nyingi ndio mchezo wanaoupa kipaumbele kuliko michezo mingine, huu ni mchezo ambao una headlines ya…
Kilimanjaro Stars yatinga hatua ya Robo fainali ya CECAFA 2015 itakutana na timu hii, Full Time yake dhidi ya Ethiopia..
Michuano ya Kombe la Challenge 2015 imeendelea tena leo November 28 Ethiopia kwa timu kumaliza michezo yake ya hatua ya makundi, timu ya taifa ya Tanzania Bara Kilimanjaro Stars ilishuka…
Navy Kenzo wanavyoendelea kukimbiza ndani ya Top 30 Ya Trace TV… (+VIDEOS)
Ni haki yako kuzipata hizi ngoma kali kutokea kituo cha kimataifa Trace TV cha nchini Ufaransa, ambapo leo Novemba 28, 2015 kimetuletea hizi Top 30 za Urban Hit. Nimekukusanyia hizi hit…