Mkuu wa mkoa DSM na agizo la usafi, Sefue na kadi za Christmas, Rais JPM, Baraza la Mawaziri?- (Audio).
Umeamkaje mtu wangu? Kama ulipitwa na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM, hizi ni dakika 19 za Kuperuzi na Kudadisi leo November 27 2015, kama zilikupita hizi ni baadhi ya stori…
Magazeti ya Tanzania November 27 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo November 27 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter…
Kwa mashabiki wa Liverpool hizi sio habari njema kwa staa wao Daniel Sturridge …
Hizi haziwezi kuwa taarifa njema kwa mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza anayeichezea klabu ya Liverpool Daniel Sturridge ambaye hakupata nafasi ya kucheza wala kukaa benchi katika mchezo wa michuano ya UEFA…
Video: Kutana na Dr. Mwaka akielezea matatizo ya afya za watu wa mjini
Kutana na Daktari kutoka Foreplan Clinic Dar es salaam akizungumzia vyakula wanavyokula watu wa mjini, matatizo ya kupata watoto pamoja na ishu nyingine za afya kwenye hii video hapa chini.…
Video: Diamond anashika simu ya Zari? Wamarekani kupost? mauzo Afrika? Mafikizolo je? majibu ninayo hapa
Diamond Platnumz ni mwimbaji wa bongofleva Tanzania, hii Interview aliifanya Exclusive na AyoTV South Africa akiongelea kolabo yake na staa wa Marekani na ishu ya kupost, Mauzo ya nyimbo zake…
Mtu wako wa nguvu nikapita chuo kikuu cha Dar es salaam Nov 26.
Saa tisa mchana November 26 2015 nikapita chuo kikuu cha Dar es salaam kusema na watu wangu wa nguvu kwa hiki kinachoendelea kwenye vyuo mbalimbali vya Tanzania ikiwemo IFM, UDSM,…
Part Two ya Exclusive Interview ya Nikki wa pili na stori ya maisha yake.
Nikk wa Pili ni rapper kutokea Arusha Tanzania akiwa kwenye kundi la WEUSI likiwa na wengine kama Joh Makini na G Nako, hii ni Interview Part Two kutoka kwenye Part…
Full Time ya Liverpool Vs Bordeaux Europa League Nov 26 2015 (+Pichaz&Video)
Usiku wa November 25 ilipigwa michezo ya mechi za klabu Bingwa barani Ulaya, lakini usiku wa November 26 ilikuwa ni zamu ya muendelezo wa mechi za michuano ya UEFA Europa…
Watanzania walivyowaongoza Wanigeria kwenye Top10 ya TRACE TV Nov 26 2015
Ni Top 10 ya TRACE TV iliyorushwa November 26 2015, TRACE ni kituo cha TV cha Ufaransa ambacho pamoja na kuonekana kwenye nchi nyingine duniani, kimetokea kutake-over kwenye burudani Afrika kwa…
Adam Juma kayaandika haya kwa madirector wenzake……
Muongozaji wa video za Bongo Adam Juma leo ameandika ujumbe ambao inawezekana ukawahusu baadhi ya waongozaji wengine wa video za Tanzania. 'Kwa madirector wadogo na wakubwa, hakuna mafanikio yanakuja kirahisi rahisi, hakuna…