Ninayo taarifa kutoka Jeshi la polisi Dar Nov 26, 2015 stori iko hapa…. (+AUDIO)
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewabadilisha kazi askari wake 164 wa kikosi cha usalama barabarani baada ya kubainika na vitendo vya rushwa. Kamanda Suleimani Kova akizungumza…
Unataka kufahamu milioni 500 walizoahidiwa Taifa Stars kama wangeifunga Algeria zimeenda wapi …
Headlines za soka la bongo bado zinauzito wake hususani kuhusiana na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambayo November 14 ilicheza mechi yake ya kwanza ya kuwania kufuzu kucheza…
Hizi ndio rekodi 4 za nguvu alizoweka Rais Magufuli siku ya alhamisi.. (+Audio)
Leo ni siku ya alhamisi, November 26 2015... nimeinasa hii ripoti exclusive kabisa iliyoripotiwa na kituo cha Clouds TV, kama ulikuwa hujui basi kuna rekodi kubwa na za nguvu kabisa…
Haya ndio majina 55 ya wachezaji soka wanaowania kuunda first eleven ya Dunia 2015 …
Ikiwa ni siku chache toka shirikisho la soka barani Ulaya UEFA litangaze majina 40 ya wachezaji waliofanikiwa kuingia katika Top 40 ya wachezaji wanaowania kuunda kikosi cha wachezaji bora Ulaya, lakini…
Sentensi 7 za Mbowe nje ya Mahakama baada ya kuruhusiwa kuaga mwili wa marehemu Mawazo Mwanza. (+Audio)
Ishu ya viongozi na wanachama wa CHADEMA kuzuiwa kuaga mwili wa Marehemu Alphonce Mawazo, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Geita imekuwa ikiripotiwa na kuandikwa kwenye vyombo vya habari huku ikisubiriwa kutolewa…
Sio Kaseja pekeyake aliyewahi kufungwa goli la kizembe na Awadh Juma, ninayo list ya magoli 10 ya kizembe (+Video)
Alhamisi ya November 26 naomba nikukumbushe na hii mtu wangu wa nguvu, najua tumezoea siku ya Alhamisi kama ni siku muhimu kwa watu wengi kupost picha zao za zamani katika account…
Ripoti ya TV Marekani ilivyowakasirisha Wakenya, wakaingia mitandaoni kujibizana nao !!
Kwenye headlines za dunia kipindi hiki huwezi kuacha kuzitaja headlines za Kiongozi wa Dini ya Kikatoliki duniani, Papa Francis kufanya ziara yake nchi za Afrika.. kwa sasa Papa Francis yupo…
Pichaz nyingine siku ya pili Papa Francis ndani ya Nairobi Kenya.. (+Picha)
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametua jana November 25 2015 ndani ya Nairobi Kenya... huu ni ugeni mwingine mkubwa na wa kimataifa kuwasili Kenya ndani ya mwaka 2015,…
Don Jazzy na watu wake wa Mavins wamejikusanya kuileta mpya yao >> ‘JantaJanta’- Video
Don Jazzy alianza safari ya muziki akiwa na D'Banj miaka mingi iliyopita, wakaibeba vizuri bendera ya Nigeria na kuifanya Dunia ikajua nguvu ya Nigeria kwenye muziki... lakini wakaona kuna umuhimu…
Kutoka Iringa imenifikia hii inayohusu Pipi za Ivori.
Kwenye zile ambazo zimenifikia leo mtu wangu ni pamoja hii kutoka Kampuni ya Ivori-Iringa ambayo wamechukua time hii kuwatahadharisha Wateja wake wakiwemo Wasambazaji na Wauzaji wa Maduka ya Jumla na…