Don Jazzy na watu wake wa Mavins wamejikusanya kuileta mpya yao >> ‘JantaJanta’- Video
Don Jazzy alianza safari ya muziki akiwa na D'Banj miaka mingi iliyopita, wakaibeba vizuri bendera ya Nigeria na kuifanya Dunia ikajua nguvu ya Nigeria kwenye muziki... lakini wakaona kuna umuhimu…
Kutoka Iringa imenifikia hii inayohusu Pipi za Ivori.
Kwenye zile ambazo zimenifikia leo mtu wangu ni pamoja hii kutoka Kampuni ya Ivori-Iringa ambayo wamechukua time hii kuwatahadharisha Wateja wake wakiwemo Wasambazaji na Wauzaji wa Maduka ya Jumla na…
Unategemea kupokea kadi za Christmas na mwaka mpya 2015 ?! Ikulu TZ imeamua haya..
Serikali imeendelea na msimamo wake wa kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, baada ya Rais Magufuli kuondoa safari za nje, mamilioni ya pesa kuokolewa katika uzinduzi wa Bunge sasa imepiga marufuku…
Paul Pogba alivyowaenzi wahanga wa shambulio Paris wakati wa mchezo wa ligi ya mabingwa..+Video
Jana klabu ya Manchester City ilikubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Juventus ikiwa ni ligi ya mabingwa Ulaya. Kiungo wa Juve Paul Pogba jana usiku alionesha uzalendo kwa taifa…
Duniani imeletwa na hii ‘selfie spoon’… kwenye meza ya chakula wewe na selfie zako tu (+Video)
'Kanga fotooo'..!! Sijui kama nimepatia sana hapo, hicho ni kionjo cha ngoma ambayo imemrudisha mkongwe Antoine Christophe Agbepa Mumba au jina lenye uzito wake ni Koffi Olomide kwenye headlines za muziki wa…
Ukivuta sigara China hawakuachi, ndani ya miezi mitano imekusanywa faini ya mamilioni !!
Ishu ya kupiga vita uvutaji wa sigara hadharani imekuwa ikigusa headlines kwenye nchi mbalimbali... kuna athari pia ambayo mtu akikutana na moshi wa sigara anayapata, hiyo ndio sababu iliyofanya nchi…
Didier Drogba anarudi Chelsea kama kocha? majibu yake haya hapa!!
Mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba amesema matarajio yake ya sasa ni kuona anarudi kwenye klabu yake ya zamani ya Chelsea kama…
Kitu kipya cha Jamie Foxx, ‘In Love By Now’ kipo hewani tayari na video yake imenifikia! – (Video).
Staa wa movie Hollywood, Marekani na msanii wa R&B, Jamie Foxx anaziandika headlines za leo kwenye kurasa za burudani na ujio wa single mpya inayopatikana kwenye latest Album yake, Hollywood:…
Midundo ya Diamond Platnumz, AY, Ray C, TID, Afande Sele kwenye video zao kali enzi hizo.. (+Video)
Kama ambavyo tunakutana na video kali, mastaa wanatoboa mipaka na kugusa headlines za kimataifa, wanapata Tuzo, show kali !! Huu muziki wa Bongo Fleva una safari yake ndefu tu, wengine…
CUF yagomea marudio ya uchaguzi, ziara ya Papa Kenya, Kigogo wa CCM matatani..#MAGAZETINI
MWANANCHI Gavana wa Jimbo la Siaya, nchini Kenya, Cornel Rasanga ameingia matatani akidaiwa kutumia Sh20 milioni za nchi hiyo (karibu Sh400 milioni) kutoka katika mfuko za Serikali kwa ajili safari…