Ni Miaka mitatu tangu Sharo Milionea afariki kwa ajali ya gari…..(Video)
November 26 2015 ni siku ya kumbukumbu ya Sharo Milionea ambae ametimiza miaka mitatu toka afariki dunia kwenye ajali ya gari aina ya Toyota Harrier lenye namba za usajili T478…
Magazeti ya Tanzania November 26 2015 na stori zake kubwa kurasa za mwanzo na mwisho
Leo November 26 2015 nimekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu, usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook twitter na…
Dakika 12 zilitaka kuharibu furaha ya Real Madrid dhidi ya Shakhtar, haya ndio matokeo ya mechi za UEFA Nov 25 (+Video)
Usiku wa Jumatano ya November 25 kulichezwa michezo nane ya muendelezo wa mechi za hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, timu kutoka Kundi A, B, C na D ndio…
Stori kutoka MITANDAONINOV25, BOT yarejesha chenji za Sarafu, Kipindupindu Dar kimepungua….
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo na pia usiache kukaa karibu yangu kwenye…
Kauli ya Simon Msuva baada ya mdogo wake kuhama Simba na kujiungana Yanga
Stori za michezo nazo zinauzito wake ambapo tangu James Msuva ambaye ni mdogo wa mchezaji wa timu ya Yanga, Simon Msuva ameanza kuchukua headlines baada ya kuondoka kwenye timu yake…
Baada ya Azam FC kumkaribisha Ivo Mapunda kufanya mazoezi na timu yao, kocha wa Azam FC kaamua haya (+Audio)
Mwezi August mwaka 2015 siku chache kabla ya dirisha la usajili la Ligi Kuu soka Tanzania bara halijafungwa, golikipa wa muda mrefu katika soka aliyewahi kucheza katika vilabu kadhaa ndani…
Mbrazil Andry Coutinho amevunja mkataba wake na Yanga? makao makuu wanasemaje?
Headlines ya zile tetesi za klabu ya Dar Es Salaam Young African kumtema kiungo wa kimataifa wa Brazil aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Andry Coutinho zimekuwa tofauti na vile ambavyo…
Ziara ya Papa Francis!! Hivi ndivyo Wakenya walivyomkaribisha leo..+Pichaz
Papa Francis wa kanisa katoliki duniani ameanza ziara yake katika nchi za Afrika na leo alikuwa Kenya. Papa Francis alilakiwa na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege…
Kilichoamuliwa na mahakama kuu Mwanza kuhusu kesi ya marehemu Alphonce Mawazo (PICHAZ+AUDIO)
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo iliendelea kusikiliza kesi iliyofunguliwa na Charles Rugiko ambaye ni ndugu wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo kwa kupinga zuio la…
Zinazotajwa kuwa Style 20 kali za ushangiliaji wa magoli katika soka, Ronaldinho na Balotelli wapo pia (+Video)
Mchezo wa soka ni miongoni mwa michezo inayoongoza kwa kupendwa duniani kote, vituko na burudani yake havijaishia uwanjani kwa wachezaji kupiga chenga na kufunga magoli na mashabiki kushangilia, kwenye soka…