Ni time ya kumjua Director wa video za muziki kutoka South Africa, Justin Campos..!
Jina lake limepata umaarufu mkubwa sana kutokana na mikono yake kuhisika kwenye kazi nyingi za wasanii kutoka South Africa, Nigeria na sasa hivi Tanzania... Najua kuna watu wangu wengi wanalisikia…
Semina ya COSOTA na wasanii, maamuzi yaliyofikiwa ni haya..(Pichaz)
Leo Chama cha Haki Miliki Tanzania ‘COSOTA’ wameendesha Semina ya Ufuatiliaji wa kazi za sanaa na Ugawaji Mirabaha ambayo itakusanywa na vituo vya Radio na Televisheni. Hii itakua ni fursa ya Wasanii…
Jibu la kocha wa Arsenal Arsene Wenger kwa wanaomuita mbahili wa matumizi ya fedha (+Video)
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ni miongoni mwa makocha wanaotajwa kuwa wagumu wa kutumia fedha nyingi katika kuwekeza kununua wachezaji na kuboresha kikosi chake, Wenger mara…
Safari ya kwanza kwa ‘Yamoto Band’ Marekani!! Ujumbe wa Mkubwa Fella ni huu hapa…(Audio)
Band ya Yamoto tayari imeondoka jana usiku kuelekea Marekani tayari kwa ziara yao ya wiki tatu baada ya kupata mwaliko kutoka kwa Watanzania wanaoishi huko. Mkubwa Fella amezungumzia safari hiyo…
Kwenye kazi za kushirikishwa, Chris Brown hapendelei kufanya hiki…!
Baada ya kutembelea studio za HOT 97 na kufanya kipindi cha asubuhi cha Ebro In The Morning, Chris Brown alizitembelea pia studio za Power 106 kwa ajili ya kufanya kipindi…
Miaka 14 toka Zlatan Ibrahimovic ahame Malmo.. haya ndio mapokezi atakayokutana nayo!!
Usiku wa leo kutakuwa na mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya kati ya PSG ya Ufaransa dhidi ya klabu ya Malmo ya Sweden. Zlatan Ibrahimovic atakuwa nyumbani katika mji wa…
Furaha ya goli la Amissi Tambwe ilidumu kwa dakika 30, baada ya Michael Olunga kuendeleza urafiki na nyavu…
Michuano ya Kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na kati imeendelea tena November 25 kwa bingwa mtetezi wa Kombe hilo timu ya taifa ya Kenya kushuka dimbani kuchuana na timu…
Sababu ya Avril kuacha kupost picha za mchumba wake kwenye mitandao ya kijamii?!
Ni mrembo, ana sauti na figure nzuri na kama wewe ni mfuatiliaji wa Coke Studio Africa basi utakuwa unakutana nae kila wiki kwenye 'mashup' sessions za Coke Studio na msanii…
Sentesi 5 za Mkemia mkuu wa Serikali kuhusu kemikali hatarishi na mikakati yao…
Mkemia Mkuu wa Serikali Samuel Manyele leo amekutana na waandihi wa habari katika ofisi yake, Dar es salaam na kuzungumzia suala zima la kemikali hatarishi zinazoingia nchini kinyume na sheria…
Kinachoongelewa na Wakenya baada ya Rais wao kuvunja Baraza la Mawaziri!
Siku moja baada ya Rais wa Tanzania kuweka headlines kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kwa raia wa Kenya, Rais Uhuru Kenyatta ameingia kwenye headlines za aina hiyo baada ya…