Ramani ya Luteni Kalama South Africa? Steve Nyerere na JB wamelishwa sumu? Majibu haya hapa..
Gangwe Mobb ni kundi ambalo kama ukiitaja safari ya Bongo Fleva Tanzania, huwezi kuacha kulitaja kundi hilo lililoundwa na Luteni Kalama pamoja na Inspector Haroun. Luteni Kalama amesimulia kwamba kuna time…
Haya ndio makundi ya michuano ya Kombe la Challenge 2015 itakayofanyika Ethiopia….
Tukiwa bado akili na macho ya watanzania wengi yapo katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018 Urusi, ambapo Taifa Stars itacheza mechi ya kwanza na Algeria November…
#GoodNews single mpya ya Joh Makini feat AKA kutambulishwa leo kwenye MTV Base!
Ni time ya kuzipata #Goodnews za Bongo Flevani... baada ya Nikki wa Pili kuitambulisha single yake mpya 'Baba Swalehe' Ijumaa iliyopita, sasa ni zamu ya kichwa kingine kutoka WEUSI kuwasogezea…
Kenya nako wameamua, ni marufuku bodaboda katikati ya Jiji Nairobi.. (Video)
Katikati ya Jiji la Dar es Salaam hili zoezi lilianza muda mrefu zaidi ya mwaka sasahivi, ambapo ilipigwa marufuku kabisa madereva wa bodaboda na Bajaji kuonekana wakisafirisha wateja wao kuingia…
Rais Obama na yeye katangaza kujiunga rasmi facebook.. (Video)
Hazijapita siku nyingi tangu Rais wa Marekani, Barack Obama atangaze kwamba anaanza rasmi kuisimamia mwenyewe account yake ya Twitter.... hiyo stori nakumbuka iligusa vichwa vya habari kwenye vyombo vikubwa vya…
Rais JPM aibukia Muhimbili, Shein na Seif faragha kwa saa tano, Wanafunzi, Bodi ya Mikopo? (Audio).
Asubuhi yako inaendaje mtu wangu? Inawezekana uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita, pengine ulikuwa busy na hukuzipata zote kwenye PowerBreakfast, nilizozirekodi zote ziko hapa. Rais Dk. John Magufuli aibukia Hospitali ya Taifa…
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 10, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Novemba 10, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Cristiano Ronaldo kazindua movie yake London, Ferguson, Mourinho na Ancelotti ndani (+Pichaz&Video)
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo usiku wa November 9 alifanya uzinduzi rasmi wa movie yake ambayo anataja kuiandaa kwa ajili ya…
Danny Mrwanda kujiunga na timu hii ya Ligi Kuu Tanzania bara, meneja wa timu hiyo kathibitisha (+Audio)
Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba, Yanga na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Danny Mrwanda amekuwa bila timu inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara kwa miezi kadhaa sasa…
Exclusive Interview na Harmonize – Part 1… alivyouza chai K’koo, studio na Q Chief na mengine
https://www.youtube.com/watch?v=rFN1vcqNJr0 Part II itapanda soon. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili…