Picha: Nyumbani kwa kina Rais Magufuli na maneno ya Dada kuhusu kazi zake enzi hizo
millardayo.com ilipata nafasi ya kuchukua machache kutoka kwenye familia ya Rais mpya wa Tanzania Dr. John Magufuli nyumbani kwao Chato Geita na kupata picha za nje za mazingira ya nyumbani…
Ulipitwa na kituko cha Majambazi Moshi kuachia risasi na kuiba mkate wakidhani ni mamilioni? full stori ninayo hapa
Ni tukio ambalo lilitokea Moshi Kilimanjaro ambapo Majambazi wawili wakiwa na Pikipiki walimvamia muuza duka Beatrice wakati akirudi nyumbani usiku wakiamini amebeba pesa kwenye mfuko, stori zaidi bonyeza play kwenye…
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 9, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Novemba 9, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Full Time ya Sevilla Vs Real Madrid November 8 (+Pichaz&Video)
Baada ya FC Barcelona kufanikiwa kupata ushindi wa goli 3-0 dhidi ya klabu ya Villarreal bila kuwa na yota wao Lionel Messi ambaye bado yupo majeruhi, walipata ushindi huo katika…
Full Time ya Arsenal Vs Tottenham na matokeo ya mechi nyingine za Uingereza November 8 (+Pichaz&Video)
Ikiwa msimu wa mwaka 2015/2016 wa Ligi Kuu Uingereza unatajwa kuwa sio mzuri kwa kocha wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Jose Mourinho kiasi cha jana kuvunja rekodi yake kwani hakuwahi…
Full Time ya FC Barcelona Vs Villarreal November 8 (+Pichaz&Video)
Kivumbi cha Ligi Kuu Hispania kimeendelea tena Jumapili ya November 8 kwa michezo minne kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, klabu ya FC Barcelona ambayo bado inaendelea kumkosa staa wa kimataifa…
Full Time ya fainali ya TP Mazembe Vs USM Alger, Mbwana Samatta kwenye headlines tena…
Licha ya kuwa Jumapili ya November 8 kuna michezo kadhaa inapigwa barani Ulaya ila mchezo wa fainali ya pili ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika ndio mchezo uliyokuwa umevuta hisia za…
Arusha yaongoza kumiliki bastola, safari za nje zafutwa,elimu bure, sheria ya mitandao Je?..#MAGAZETINI
MWANANCHI Mkoa wa Arusha umetajwa kati ya mikoa ya pembezoni nchini ambayo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomiliki silaha za moto, hasa bastola. Katika maeneo ya burudani…
Nimekusogezea #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 Tanzania NOVEMBER 08, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote…
Paul Makonda alipongeza jeshi la polisi kwa kulinda na kudumisha amani…(Picha)
Ni Novemba 7, 2015 ambapo Mkuu wa wilaya ya kinondoni, Paul Makonda aliandaa party la kuwapongeza jeshi la Polisi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi iliyofanyika katika uwanja wa Police…