Magazeti ya Tanzania leo Novemba 5, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Novemba 5, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Full Time ya FC Bayern Munich Vs Arsenal na matokeo ya mechi nyingine za Ligi ya Mabingwa Ulaya November 4 (+Pichaz&Video)
Michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya hatua ya Makundi imeendelea tena usiku wa November 4 kwa michezo nane kupigwa ikihusisha timu kutoka Kundi E, F, G na H, zikiwa timu…
Kama unalove na nyimbo za Jamaica…. ninayo hapa Top10 ya video zao kali za sasa.
Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha…
Pambano la Francis Cheka na Muingereza bado haielewiki, hii ndio kauli ya Cheka …
Stori kuhusu bondia wa kitanzania Francis Cheka kusafiri kwenda Manchester Uingereza kupambana na bondia wa kiingereza zimezidi kuchukua headlines kutokana na safari yake kutoeleweka. Cheka aliripotiwa kusafiri kwenda Uingereza kwa…
Video: Martin Kadinda alipofika China kutaka kumuona Jackline Cliff gerezani
Jackline Patrick Cliff ni video queen wa Tanzania ambaye amefungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya, kwenye OnAIR with Millard Ayo bestfriend wake Martin…
Mapumziko ya kesho yanawahusu wa mitihani ya kidato cha nne? majibu yametolewa hapa
Umeipata taarifa ya kuwa kesho November 5, 2015 ni siku ya mapumziko sababu ya kushuhudia kuapishwa kwa Rais mpya wa Tanzania Dr. Magufuli? ......pamoja na hayo Wanafunzi wa kidato cha nne…
Hii ndio zawadi ya Diamond kwa Queen Darleen….(Picha)
kama tulivyozoea kuona mastar wengi huitumia siku ya kuzaliwa kupeana zawadi kali, sasa hii imetokea kwa staa wa kike wa Bongo Fleva, Queen Darleen ambaye leo November 4, 2015 ni…
Hasheem Rungwe kwenda mahakama kuu ? stori iko hapa….
Wakati tukizisubiria saa chache zijazo ili kuifikia November 5,2015 kwaajili ya kushuhudia tukio la kitaifa la kuapishwa kwa rais mteule wa Tanzania kwa awamu ya tano DK. John Pombe Magufuli,nakusogezea…
Baada ya Mohamed Dewji kuweka wazi lengo lake la kutaka kuinunua klabu ya Simba, huu ndio mtazamo wa Aden Rage…
Wiki kadhaa nyuma mfanyabiashara mkubwa na maarufu Tanzania Mohamed Dewji aliweka wazi dhamira yake ya kutaka kuinunua klabu ya Simba na kuwekeza bilioni 20 kwa ajili ya klabu hiyo, Dewji…
Alan Wanga kaeleza experience ya maisha ya Sudan, ukinywa pombe hii ndio adhabu utakayopewa
Mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya anayekipiga katika klabu ya Azam FC ya Tanzania Alan Wanga November 4 amefunguka katika Amplifaya ya Clouds FM kuhusu maisha ya Sudan, nchi ambayo utamaduni…