Lipumba na ZEC, Rais JK? Hali ya Z’bar? Kilichoharibu kura laki nne TZ? #StoriKUBWA (+Audio)
Good Morning mtu wangu, ni jumatatu nyingine na kama kawaida lazima tuanze na Uchambuzi wa Magazeti @CloudsFM. Inawezekana baadhi ya stori kubwa kwenye kuperuzi imekupita, nimezisogeza zile zote za leo…
Pichaz za Birthday Party ya Wema Sepetu, mastaa wa Bongo nao ndani !!
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa Wema Sepetu ambaye ni mwigizaji wa Bongo Movie alifanya Party yake Novemba 1, 2015 akawaalika mastaa wengi kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva, kiukweli ilipendeza…
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 2, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Novemba 2, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Amissi Tambwe wa Yanga kamfunika staa huyu wa Manchester City kwa kutembelea gari kali…
Ni ngumu kuamini kwa mchezaji staa na anayecheza katika klabu kubwa kama ya Manchester City kutembelea gari ya thamani ndogo kuliko hata baadhi ya wachezaji wa kitanzania ambao wengi wetu…
Miaka 12 iliyopita siku kama ya leo Cristiano Ronaldo ndio alifunga goli lake la kwanza akiwa na Man United (+Video)
Kila mmoja anamfahamu vizuri Cristiano Ronaldo ambaye anakipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania na timu ya taifa ya Ureno. Ronaldo ambaye alijiunga na klabu ya Manchester United mwaka…
Kama hufahamu hii ni sehemu ya historia halisi ya maisha ya utoto ya Luis Suarez wa FC Barcelona…
Maisha ni hatua mtu wangu ukiwa huu ni mwanzo wa mwezi November naomba nikukumbushie historia halisi ya mchezaji wa kimataifa wa Uruguay na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Luis…
Stamina na Country Boy kuhusu Young D kukosekana Mtu Chee na alichowaambia.
https://www.youtube.com/watch?v=NF7N7yX406w Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio…
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 1, 2015 yameamka na hizi kwenye Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Novemba 1, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote…
Full Time ya USM Alger Vs TP Mazembe October 31
Mchezo wa kwanza wa fainali ya klabu Bingwa barani Afrika umechezwa usiku wa October 31 kwa kuzikutanisha timu za USM Alger ya Algeria dhidi ya klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya…
Full Time ya Real Madrid Vs Las Palmas October 31 (+Pichaz&Video)
Ligi Kuu Hispania Laliga imeendelea tena leo October 31 kwa vilabu kadhaa kukipiga katika viwanja mbalimbali, Real Madrid ya Hispania walikuwa wenyeji dhidi ya Las Palmas katika dimba la Santiago Bernabeu…