Picha za barabarani Dar es salaam October 29, 2015
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi Mkuu 2015 huku wananchi wakiwa wanasubiri matokeo ya Rais atakayetangazwa na tume ya Uchaguzi atakayeongozwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bendera za vyama vya…
Haya ni mambo 13 kwanini matokeo ya uchaguzi mkuu Tanzania Bara hayatofutwa.. (Video)
October 29 2015 ni siku ambayo vichwa vya habari magazetini vimetawaliwa na stori ya kuahirishwa Uchaguzi mkuu Zanzibar pamoja na matokeo yake yote kufutwa. Hiyo ni habari iliyotokana na Mwenyekiti…
Magazeti ya Tanzania leo October 29, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Octoba 29, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Full Time ya Man City Vs Crystal Palace na matokeo ya mechi nyingine za Capital One October 28 (+Pichaz&Video)
Kama ambavyo usiku wa October 27 michezo kadhaa ya Kombe la Capital One iliendelea na tulishuhudia Chelsea wakitolewa kwa mikwaju ya penati 5-4 dhidi ya Stoke City mara baada ya…
Full Time ya CF Villanovense Vs FC Barcelona October 28 (+Video&Pichaz)
Kama ambavyo nchini Uingereza kunachezwa michezo kadhaa ya Capital One kati kati ya wiki hii, nchini Hispania kuna mchezo mmoja umepigwa wa Copa del Rey ukizikutanisha timu za Villanovense dhidi ya FC…
Matokeo ya kura za urais walizopiga Dodoma, Dsm, Tanga, Arusha, Mwanza na kwengineko
Bonyeza play kwenye hii video hapa chini uone yote ndani ya dakika 4 tu. https://www.youtube.com/watch?v=DjbLUMHH2Q8 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya…
January Makamba kuhusu CCM kwenda Mahakamani, pia dakika 4 za Lowassa
Matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 kwenye headlines za Urais yameendelea kutolewa na tume ya taifa ya uchaguzi, haya ni ya October 28 2015 ambapo wakati yakitolewa, tazama hii…
Baada ya kushinda Udiwani Said Fella kayazungumza haya…..
Ni headlines baada ya headlines kuhusiana na Uchaguzi mkuu 2015, stori ninayokusogezea ni hii kutoka kwa Meneja wa TMK Family pamoja na Mkubwa na Wanae, Said Fella ambaye ameshinda udiwani…
Dakika 10 za Maalim Seif Sharif Hamad na Prof. Lipumba baada ya uchaguzi Zanzibar kufutwa.. (+Audio)
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ZEC kutangaza kufuta matokeo ya Uchaguzi mkuu wa Zanzibar October 28 2015, Kiongozi wa zamani wa chama cha CUF, Professor Ibrahim Haruna…
Lina kathibitisha ujio wa video mpya baada ya ‘No Stress’…(+Audio)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii wa kike wa Bongo Fleva, Linah Sanga ambaye anatarajia kuja na video ya single mpya iitwayo Happy Day itakayotayarishwa na ma director…