Magazeti ya Tanzania leo October 27, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Octoba 27, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Hamu ya kuyajua matokeo ya Ubunge Nyamagana kwa Wenje na Kawe kwa Halima Mdee
Stori mbalimbali za uchaguzi zinaendelea kuchukua headlines kutoka area tofauti za Tanzania ambapo kwa upande wa Ubunge, zilizonifikia usiku huu ni hizi za Mgombea Ubunge Ezekiah Wenye wa Nyamagana Mwanza…
Matokeo mengine kura za Urais 2015, Moshi mjini, Njombe, Tanga na kwengine.
https://www.youtube.com/watch?v=NsXXcECxfEs&feature=youtu.be Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio…
Mawili aliyoyazungumza Edward Lowassa Oct 26, yapate na ya January Makamba pia.
Ni saa chache tu baada ya kuanza kutangazwa kwa matokeo ya Urais ya mwaka 2015 Tanzania ambapo mgombea Urais wa UKAWA Edward Lowassa na January Makamba wa CCM wamezungumza kwenye…
Kura za Urais walizopata Lowassa, Dr. Magufuli na wengine Pemba, Katavi, Unguja na majimbo mengine 7
Nakuunganisha na Jaji Damian Lubuva kutoka tume ya taifa ya uchaguzi akitangaza awamu ya pili ya matokeo ya Urais kwenye majimbo mbalimbali ya uchaguzi Tanzania bara na visiwani, hii video…
Bado hali mbaya kwa Jose Mourinho FA watangaza adhabu hii dhidi yake…
Bado mambo sio mazuri kwa kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ambaye anahusishwa kufutwa kazi klabuni hapo kufuatia mwenendo mbovu wa klabu hiyo. Stori za Mourinho kufutwa kazi zimeandikwa…
Mambo matatu kutoka kwa Kamanda Kova.. Matokeo yasiyo rasmi, vurugu, waliokamatwa.. (Audio)
Tukiwa bado tunaendelea na Uchaguzi Mkuu kumekuwa na matukio mbalimbali yanayojitokeza kama kuenea kwa taarifa za kushinda kwa wagombea wa sehemu mbalimbali, sasa kamanda wa polisi wa kanda maalum Dar…
Baada ya matokeo kuanza kutangazwa, CCM kaongea January.. UKAWA kaongea Lowassa
Ni saa chache zimepita toka zoezi la kupiga kura kukamilika katika maeneo mbalimbali Tanzania na sasa vichwa vya habari vikihamia kwenye matokeo na utangazwaji wake ambapo wakati matokeo ya kura za…
Vitu vitano ambavyo huenda hauvifahamu kuhusu maisha ya Cristiano Ronaldo…
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Manchester United ya Uingereza kwa zaidi ya miaka mitano. October 26…
Majibu ya kura za Urais 2015 kutoka majimbo 10 ya Tanzania.
#MillardAyoUPDATES: Matokeo ya Urais2015 Kusini Pemba - Mkoani: ACT kura 20,ADC 60, CCM 3341, CHADEMA 7368, CHAUMA87, NRA44, TLP 33, UPDP 27 — millard ayo (@millardayo) October 26, 2015…