Kama ulimiss sentensi za January Makamba kuhusu mchakato wa upigaji kura ulioanza Octobe 25… (Audio)
Baada ya Tanzania kuingia katika Historia kubwa jana October 25 2015 ambapo watu wote walioandikishwa na kuthibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC wanaendelea kupiga Kura katika maeneo mbalimbali.…
Hii ndio orodha kamili ya washindi wote wa tuzo za MTV EMA 2015, zilizofanyika Milan, Italy!
Ukiacha mbali headlines za Kisiasa nchini, kwenye ulimwengu wa burudani tarehe 25 October ilikuwa siku muhimu kwa mamilioni ya mashabiki wa muziki duniani kwani tuzo za MTV EMA 2015 zilikuwa…
NEC na matokeo ya Ubunge, TCRA yatoa onyo, Rais kutangazwa Alhamisi, Rais JK kustaafu November?! (Stori &Audio).
Good Morning mtu wangu, leo ni tarehe 26 October 2015 na kama kawaida lazima asubuhi ianze na uchambuzi wa stori zote magazetini @CloudsFM. Kazi yangu ni kuhakikisha kubwa zote za…
Magazeti ya Tanzania leo October 26, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Octoba 26, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Diamond Platnumz ana Tuzo nyingine tayari toka Italy MTV EMA 2015
Katikati ya mwezi September 2015 tuliipata good news kwenye kiwanda cha Muziki Tanzania, East Africa na Africa kwa ujumla ambapo list ya wakali wa muziki wanaowania Tuzo za MTV EMA…
Full Time ya FC Barcelona Vs Eibar October 25 (+Pichaz&Video)
Real Madrid na FC Barcelona ni wapinzani wa jadi mara nyingi huwa wanafuatana katika msimamo wa Ligi kama Madrid akiwa na nafasi ya kwanza basi FC Barcelona atakuwa nafasi ya…
Full Time ya Liverpool Vs Southampton October 25 (+Video&Pichaz)
Licha ya kuwa mechi ya Manchester United dhidi ya Manchester City ilikuwa ya kuvutia zaidi kwa Ligi Kuu Uingereza katika mechi zilizochezwa leo October 25, mechi kati ya Liverpool dhidi…
Mambo matano ya kufahamu kutoka Tume ya Uchaguzi sasahivi ikiwemo utoaji wa matokeo… (Sauti)
Baada ya kuisha kwa zoezi la kupiga Kura lililofanyika leo October 25 2015, najua kila Mtanzania atakuwa na hamu ya kuyapata matokeo. Lakini zipo taarifa nilizozipata kutoka Tume ya Taifa…
Full Time ya Man United Vs Man City na matokeo ya mechi nyingine za October 25 (+Video&Pichaz)
October 24 Ligi Kuu soka Uingereza iliendelea kwa michezo kadhaa kupigwa, huku mashabiki wengi wa soka wakiendelea kusubiria mechi ya watani wa jadi Manchester United dhidi ya Manchester City. Hii…
Top 20 ya kwanza mastaa wa Bongo waliothibitisha kupiga Kura leo October 25 Tanzania.. +Pichaz
Tunaelekea kuufunga ukurasa wa stori za Uchaguzi Mkuu Tanzania October mwaka 2015, lakini ukurasa huo hautofungwa mpaka Wagombea Udiwani, Ubunge na Rais anaepokea nafasi ya Rais Jakaya Kikwete watangazwe. Tumewaona…