Rais JK amepiga Kura Chalinze na hii ndio mipango yake akistaafu… (Picha+Sauti)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete nae ameungana na Watanzania kuhakikisha anatimiza haki yake kama Raia wengine kwa kupiga Kura yake kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais anayemrithi. Kuna vituo vya TV vinarusha…
Hiki ndio walichokisema Edward Lowassa na Dk. John Magufuli baada ya kupiga Kura October 25.. (+Pichaz)
Tanzania inaandika Historia kubwa kwa mara nyingine leo October 25 2015 ambapo watu wote walioandikishwa na kuthibitishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC wanaendelea kupiga Kura katika maeneo mbalimbali.…
Hali ilivyo leo Dar es Salaam October 25 baada ya watu kwenda kupiga Kura… (Picha)
Leo October 25, 2015 ndio siku ambayo kila mtanzania ana haki ya kumchagua kiongozi ambaye atakayeongoza au atakayeyatimiza yale mwananchi anayoyataka kwenye huduma mbalimbali. Sasa basi ripota wa millardayo.com amepita…
October 25 2015 siku ya Uchaguzi Mkuu Tanzania, Magazeti yameamka na hizi stori kubwa leo..
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili October 25 2015, tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Dini, Michezo na…
ACT wazalendo walivyofunga kampeni za uchaguzi 2015 Kigoma.
October 24 2015 ndio ilikua siku ya mwisho ya vyama vya siasa Tanzania kupiga kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao tarehe yake ni October 25 ambapo baada ya kukuonyesha…
Na Madereva wanapiga kura October 25, usitegemee kusafiri kwa asilimia 100.
Chama cha wamiliki wa mabasi Tanzania (TABOA) kimeamua kusitisha huduma zote siku ya October 25 ili kuwaruhusu madereva wake kupata nafasi ya kupiga kura kwenye siku kubwa ya Jumapili October 25. Muweka…
Full Time ya Arsenal Vs Everton na nyingine za ligi kuu Uingereza October 24 (+Video)
Ligi Kuu Uingereza imeendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, miongoni mwa michezo iliyokuwa inapewa nafasi kubwa au kuteka hisia za mashabiki wengi wa soka ni mechi kati…
Dakika za mwisho za CCM na UKAWA jukwaani, mzigo umepigwa Mwanza na Dar es Salaam.. (Pichaz)
October 24 2015 zimebaki saa chache mpaka sasa kuifikia October 25 siku ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, ni Uchaguzi ambao huwa unafanyika…
Full Time ya Celta Vigo Vs Real Madrid October 24 (+Video)
Ligi Kuu Hispania imeendelea tena leo October 24 kwa michezo kadhaa kupigwa nchini Hispania, klabu ya Real Madrid ya Hispania ilikuwa mgeni wa Celta Vigo katika uwanja wa Estadio Municipal de…
Top 8 ya Hit Us Trace TV Octoba 24, 2015…..
Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa. kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha…