Djibril Cisse na Mathieu Valbuena kwenye kashfa ya kuvujisha mkanda wa ngono
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Liverpool ya Uingereza na timu ya taifa ya Ufaransa Djibril Cisse ameingia kwenye headlines asubuhi ya October 13 baada ya kukamatwa kwa kosa la kuvujisha mkanda…
Collabo ya Christian Bella na Ali Kiba, Abdu Kiba kuichezea Simba? Hasheem Thabeet Je?…#255
Christian Bella na Ali kiba walirekodi ngoma yao katika studio za Chidaz Record lakini haikutoka mpaka sasa, leo kwenye 255 Bella amesema imechelewa kutokana na kila mmoja kuwa busy, wamekuwa…
Muendelezo wa Hekaheka ya maiti ya Kijana kukutwa nyumbani kwa mkwe wake..(Audio)
Leo team Hekaheka inaendelea na kisa cha kijana aliyekutwa amefariki akiwa nyumbani kwa mama wa mke wake maeneo ya Magomeni, Dar es salaam na kusababisha utata mkubwa..baada ya jana ndugu…
Mama na watoto wake 12..mipango yake kwa wengine Je?!! (Video)
Mara nyingi nchi zilizoendelea huaminika zaidi kufuata uzazi wa mpango tofauti na nchi zinazoendelea kwa sasa, ingawa wataalam wa mambo ya uzazi wanashauri wazazi kufuata uzazi wa mpango lakini wapo…
Kama ulipitwa unaweza kucheki mapokezi ya Edward Lowassa ilivyokuwa Mwanza October 12…
Siku 11 zimebaki kuifikia October 25 2015, ambapo Tanzania itakuwa kwenye tukio jingine kubwa na la kihistoria, Watanzania Milioni 22.7 waliothibitishwa na Tume ya Uchaguzi NEC, watapiga Kura kuchagua Viongozi…
Pichaz kutoka kwenye Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dk John Magufuli, hii ni Lindi October 12.
Ziara za Wagombea nafasi za Urais kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado zinaendelea, Vyama vinaendelea kubadilishana Majukwaa ya Kampeni Mkoa kwa Mkoa. Kwa upande wa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John…
Membe na Lowassa, TWAWEZA na mdahalo wa Urais?, Idadi Wapigakura TZ? Rais JK na Umeme wa Gesi. – (Audio).
Ni tarehe 13 October 2015 na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM umesikika moja kwa moja kutoka 88.5 Dar es salaam. Inawezekana hukuzisikia zote kwenye kuperuzi na kudadis na kama zilikupita…
Good News kwa familia ya John Legend na mke wake Chrissy Teigen!!
Familia ya mwanamuziki John Legend na mke wake Chrissy Teigen wanatarajia kufungua ukurasa mpya wa maisha baada ya kutangaza rasmi kuwa ni wazazi watarajiwa. Baada ya miaka miwili ya ndoa…
Magazeti ya Tanzania Octoba 13, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Octoba 13, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Pichaz za utoaji wa Tuzo za TASWA 2015 na Rais Jakaya Kikwete akipewa Tuzo ya heshima
Hatimaye lile tukio la utolewaji wa Tuzo za chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) ambazo hutolewa kila mwaka kwa wanamichezo wanaofanya vizuri, zimekamilika usiku wa October 12 kwa…