Ninayo takwimu ya waliojiandikisha kushiriki kupiga kura Uchaguzi 2015, stori iko hapa……
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 leo Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Kailima Kombwey ametoa takwimu au idadi ya watanzania waliojiandikisha kwa ajili ya kupiga kura kwenye Uchaguzi…
Pichaz za mwanzo kutoka Mlimani City katika sherehe ya kuagwa kwa Rais Kikwete (+Pichaz)
October 12 ndio siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenda michezo wote Tanzania, kwani chama cha waandishi wa habari za michezo Tanzania TASWA ndio siku ambayo kilitangaza kuwa kitatoa tuzo…
Staa wa Bongo Movie kaamua kuingia ndani ya Daladala kupiga Kampeni za Ubunge Dar.. (Pichaz)
Mkali wa Movie kwenye Kiwanda cha Bongo Movie Tanzania, Mohamed Mwikongi ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la Frank ni moja kati ya watu maarufu waliojitokeza kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika October…
Waziri Abdallah Kigoda amefariki akiwa kwenye Matibabu India, Serikali imethibitisha hii.. #RIP
Kulikuwa na taarifa nyingi zilizosambazwa Mitandaoni kuhusu hali ya Kiafya ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda lakini Serikali ikakanusha kuhusu taarifa hizo na kutaarifu kuwa Waziri huyo…
Peter Okoye wa P-square leo katusogezea sehemu ya 2 & 3 ya show yake ‘Dance with Peter’..Video
Peter Okoye wa kundi la P-square amekuwa akituletea mfululizo wa show yake yake inayoitwa 'Dance with Peter' . Show hiyo inayosimamiwa na majaji Ehiz, Kaffy pamoja na Don Flexx imekuwa ikishirikisha…
Kipindupindu bado kipo Dar… Ninayo Ripoti hali ilivyo Wilaya ya Kinondoni kwa sasa..
Ripoti kuhusu Ugonjwa wa Kipindupindu ni kama hazisikiki sana sasahivi kutokana na jinsi ambavyo Siasa imeteka Headlines za Vyombo vya Habari, lakini taarifa ikufikie kwamba Ugonjwa huo bado upo Dar…
Janet Jackson anaiandika historia tena kwa mara ya 7 na mauzo haya ya Album yake mpya!
Msanii wa muziki wa Pop nchini Marekani, Janet Jackson anaziandika headlines kwenye stori za burudani siku ya leo... Nimetembelea mtandao wa Billboard na nimekutana na news kuhusiana na Janet Jackson…
Soudy Brown kaipata issue ya ugomvi wa kundi la Central zone…#Uheard Audio
Soudy Brown kapata tetesi kuwa kundi la Central zone wana mgogoro..kapiga stori na msanii Kona wa kundi hilo ambaye inasemekana msanii mwenzake Moni alimpiga na chupa wakati wakibishana kuhusu mmiliki wa ngoma…
Camera zilivyomnasa jamaa akipiga watu na kuvunja Computer baada ya kushindwa kamali Mtandaoni..
Michezo ya Kamari imekuwa na umaarufu mkubwa sana siku hizi, lakini Teknolojia imewafata wanaopenda hiyo michezo mpaka Mitandaoni.. maana yake ni kwamba wapo wanaocheza kamali Mitandaoni pia. Camera za CCTV…
Vanessa, Diamond baada ya ushindi wa AFRIMMA, Young Dee kaondoka ‘Mtu Chee’? Tour ya kidoti je?..255 Audio
Wikiend iliyopita Diamond, Vanessa na Ommy Dimpoz wameiwakilisha vyema Tanzania katika tuzo za AFRIMMA zilizofanyika Marekani..Vanessa kazungumza kwenye 255 na kuwashukuru watanzania kwa kuwapigia kura, anajisikia faraja sana kushinda tuzo…