Magazeti ya Tanzania Octoba 10, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Octoba 10, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Matokeo ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya Euro 2016 yapo hapa mtu wangu (+Video)
Michuano ya kuwania kufuzu kucheza Euro 2016 imeendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja mbalimbali, moja kati ya mechi zilizochezwa usiku wa October 9, timu ya taifa ya Uingereza ilikuwa…
Hii ni top 10 ya mastaa wa soka wanaovuta sigara mtu wangu (+Pichaz)
Siku zote mchezo wa soka unahitajika uwe na nidhamu, mchezaji soka unatakiwa kuzingatia vitu kadhaa ili ulinde kipaji chako na kuendelea kucheza soka. Ni maswali ambayo wengi tunajiuliza kwa nini watu…
Pichaz za kwanza nje Red Carpet mpaka ndani kwenye Fainali ya BSS 2015..
Ndani ya Ukumbi wa King Solomon Hall, Kinondoni Dar es Salaam kinachoendelea sasahivi ni Fainali ya Bongo Star Search Season 8... nimeanza kukusogezea hizi pichaz za kwanza kuanzia Red Carpet mpaka…
Ulishawahi kuona mlo wa mchana wa Cristiano Ronaldo? basi nimekuwekea hapa mtu wangu
Michuano ya mechi za kuwania kufuzu michuano ya Euro 2016 bado inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa, kwa upande wa timu ya taifa ya Ureno ambao walishinda kwa goli 1-0 dhidi…
Mtazamo wa kocha wa Arsenal juu ya Liverpool kumfuta kazi Brendan Rodgers
Baada ya klabu ya Liverpool kumfukuza kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Brendan Rodgers kutokana na mwenendo mbovu wa timu yao, watu mbalimbali katika uchambuzi wa masuala ya soka wamekuwa…
Kuna watu maarufu hawapendi kubadilisha nguo, Rais Obama yumo.. Kuna sababu?
Unaweza kumuona Rais Barack Obama kwenye suti moja au ya aina moja kila wakati, hapendi kubadilisha? Marehemu Boss wa Apple Inc, Steve Jobs nae yumo kwenye list... ana sababu yoyote?…
Kocha wa Liverpool kamkejeli Jose Mourinho? hili ni jina analotaka kuitwa, zipo pia pichaz za utambulisho wake
Jioni ya October 7 klabu ya Liverpool ya Uingereza ilitangaza rasmi kuingia mkataba wa miaka mitatu na kocha Jurgen Klopp na kujiunga na klabu hiyo, taarifa zilizotoka Ijumaa ya October 8…
Nimekusogezea Official Video ‘Talk & Do’ ya Kcee Feat. Uhuru & DJ Buckz…
Ni headlines baada ya headlines, hitmaker wa 'Love Boat' Kcee karudi kwenye headlines baada ya kuachia Video ya ngoma yake mpya 'Talk & Do' ndani akiwa kamshirikisha msanii mwenzake Uhuru…
‘See You Again’ ya Wiz Khalifa ni video ya kwanza ya Hip-Hop kufikisha idadi hii ya watazamaji YouTUBE! + (Video)
Rapper maarufu kutoka Marekani, Wiz Khalifa anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani... miezi michache iliyopita msanii huyo aliachia single yake ya 'See You Again' wimbo uliyotumika kama official soundtrack kwenye…