Kamera za waandishi hazikuwa mbali kunasa tukio la kinyama kwa mama huyu mjamzito…Video
Tukio hili limetokea huko Texas,Marekani baada ya ugomvi kati ya mume na mke ambapo mama mwenye ujauzito wa miezi nane alijikuta akihatarisha maisha yake baada ya mume wake kumburuza kwa…
Safari ya mwisho ya Marehemu Mchungaji Mtikila kwenye mazishi yake Njombe…
Safari ya Marehemu Mchungaji Christopher Reuben Mtikila Duniani imefika mwisho baada ya ndugu, jamaa, marafiki na mamia ya watu kuongozana mpaka Kijiji cha Milo, Ludewa Mkoa wa Njombe ambapo yamefanyika Mazishi yake jana…
Headlines za ugonjwa wa Ebola zahamia Nigeria..
Miezi ya hivi karibuni Headlines za ugonjwa wa Ebola zilisambaa katika vyombo mbalimbali vya habari duniani. Leo headlines zimerudi tena huko Nigeria baada ya watu 10 kuwekwa karantini katika hospitali…
Kingunge vs. CCM, Dk. Slaa kwa Magufuli, Rais wa Nigeria na Uchaguzi Tz? Kagame? Nchemba je? (Audio)
Asubuhi ya kila siku lazima ianze na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM, pengine ulikuwa kwenye foleni na nyingi zimekupita na kama kuna moja uliikosa basi karibu uperuzi na hizi nyingine…
Tecno wazindua simu mpya Tecno Phantom 5… (Picha)
Una mpango wa kununua simu mpya kwa sasa mtu wangu?, kama bado upo kwenye mgongano wa mawazo hujui ununue simu gani basi Tecno Phantom 5 haina mpinzani kwa sasa. Ukifanya…
Magazeti ya Tanzania Octoba 9, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Octoba 9, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Usain Bolt kwenye headlines moja na Steven wa Yanga ? mrembo huyu kasabisha (+Pichaz)
Mwanariadha wa kijamaika ambaye amewahi kutajwa kama moja kati ya viumbe vyenye kasi zaidi duniani Usain Bolt ameingia kwenye headlines kisa mrembo Patty Lopez de la Cerda, mwanariadha huyo aliwahi kuweka rekodi…
Baada ya Liverpool kumtimua Brendan Rodgers huyu ndio kocha wao mpya (+Pichaz)
Ikiwa zimepita zaidi ya siku kadhaa toka klabu ya Liverpool ya Uingereza imfukuze kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Brendan Rodgers, kulikuwa na stori za makocha kadhaa kurithi nafasi hiyo…
Umewahi kuona pichaz za utoto za Neymar, Hazard, Terry, Hamilton na Lewandowski? Ninazo hapa mtu wangu
Kabla haijaisha siku ya Al-hamis ya October 8 naomba nikuletee TBT pichaz za wakali kadhaa wa michezo, maisha kuna kupitia vitu vingi, hivyo sio vibaya nikikuletea TBT pichaz za wale…
Hii ndio Bukoba mtu wangu, pichaz za leoleo kujionea uzuri wake toka juu…
Ripota wa millardayo.com ametua Bukoba leo October 08 2015, najua kuna watu wangu wa nguvu wako nje ya TZ na wanaisikia Bukoba.. najua nna watu wangu wengine ni WaTZ ila…