Maneno ya Nicki Minaj kuhusu Drake & Meek Mill + beef yake na Miley Cyrus!
First lady wa label ya Cash Money Records Nicki Minaj ameingia kwenye headlines za burudani baada ya interview yake na jarida la The New York Times Magazine, miongoni mwa majarida…
Uhusiano wa kwanza kabisa wa Kim Kardashian, alikua na miaka mingapi?…Video
Unaweza ukadhani hakuna kingine kipya kuhusu maisha ya staa Kim Kardashian wa reality show ya 'Keep Up with Kardashians'. Upande wa maisha ya nyuma ya uhusiano wa Kim Kadarshian kabla…
D’Prince anaisogeza kwako ‘Oga Titus’ Feat. Don Jazzy…Video
D'Prince ameachia Video ya ngoma yake mpya 'Oga Titus' ndani akiwa amemshirikisha Don Jazzy. Katika Video hiyo ndani ameonekana mchekeshaji wa Nollywood Bishop Imeh maarufu kama Okon. Video imeongozwa na…
UKAWA & Arusha, Magufuli & Mbowe, Kingunge kwa Lowassa?, Msigwa Mahakamani?#PowerBreakfast (Audio).
Asubuhi ya Alhamisi tarehe 8 October 2015 imeanza na uchambuzi wa magazeti redioni @CloudsFM The Peoples Station, na kazi yangu ni kuhakikisha zote kubwa za leo zinakufikia, kama hukuzipata zote,…
Wafanyakazi Korea Kusini wamekuja na hii ya kulipia usingizi muda wa kazi…
Korea Kusini ni moja ya Mataifa yaliyoendelea kiuchumi na raia wake hutumia masaa mengi zaidi kufanya kazi. Utafiti uliofanywa na Shirikisho la Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo OECD ulifanya uchunguzi na…
Magazeti ya Tanzania Octoba 8, 2015 yameamka na hizi kwenye Udaku, Michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Octoba 8, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Mapenzi yake kwa Man United yafanya atumie zaidi ya saa 450 kutengeneza kitu hiki (+Pichaz)
Ushabiki wa soka kwa raia wa Uingereza unazidi kuchukua nafasi katika headlines za soka kila kukicha, August 30 2015 tuliona shabiki wa klabu ya West Ham United John High kuchora tattoo ya…
Umahiri wa beki huyu wa Man United haukuishia uwanjani pekee hata kazi za nyumbani (+Pichaz)
Beki wa klabu ya Manchester United Marcos Rojo ameingia kwenye headlines baada ya kuweka picha katika mitandao ya kijamii zikimuonesha akifanya shughuli za nyumbani kama kuosha vyombo na kadhalika. Marcos Rojo sio…
Top 10 ya wasichana warembo katika mchezo wa tennis 2015 (+Pichaz)
Mchezo wa tennis ni moja kati ya michezo inayokuwa kwa kasi duniani kote, October 7 nakuletea Top 10 ya warembo wanaocheza mchezo wa tennis, list hii haitokani na umahiri wao…
Tume ya Uchaguzi imetoa majibu kuhusu Wanafunzi kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015… (Audio)
Tukiwa bado tupo kwenye headlines za Uchaguzi 2015 leo Octoba 7, 2015 Mwenyekiti wa tume ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva ametolea majibu kuhusu Wanafunzi kushiriki Uchaguzi mkuu. 'Suala la Wanafunzi…