Tanzania na Ireland zimesaini hati ya makubaliano katika Sekta ya Afya
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Ireland zimesaini hati ya makubaliano katika Sekta ya Afya ili kuendeleza ushirikiano uliopo ikiwemo kubadilishana uzoefu baina ya watalaam…
MSD yatakiwa kusimamia uendeshaji wa viwanda vya bidhaa za afya nchini
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Bohari ya Dawa nchini (MSD) kusimamia viwanda vya ndani vinavyozalisha bidhaa za afya ikiwemo dawa, maji dawa (dripu) ili kuviwezesha viwanda hivyo kuendelea…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 20, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 20, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 20, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 20, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
wagonjwa wanane waliougua Ebola waruhusiwa kutoka hospitali Uganda
Uganda imeruhusu wagonjwa wanane kuondoka hospitalini ambao wamepona kutokana na aina ya Sudan ya Ebola baada ya kupima vipimo vya ugonjwa huo mara mbili kwa tofauti ya saa 72. Kufikia…
Anayeshtumiwa kujaribu kusafirisha Cocaine kwenye njia ya haja kubwa hoi hospitali
Raia wa Marekani anayeshtumiwa kujaribu kusafirisha Cocaine kutoka Alabama, Marekani, hadi Saudi Arabia, anapokea matibabu katika hospitali moja jijini Nairobi chini ya ulinzi wa polisi, baada ya kupata matatizo makubwa…
Gharama ya kufukuzwa kwa Ten Hag zafichuliwa
Man Utd wamechapisha akaunti zao za robo mwaka, kuanzia Oktoba hadi Desemba mwaka jana na ikiwa ni pamoja na kufutwa kazi kwa meneja Erik ten Hag. Akaunti zinafichua kuwa kumtimua…
Maafisa Ushirika wa Kanda ya Kaskazini wapewa Mafunzo ya Usimamizi
Mkuu wa Mkoa ya Manyara, Mhe. Queen Sendiga ametoa rai kwa Tume ya Maendeleo ya Ushirika kufanya mafunzo kwa Viongozi wa Vyama vya Ushirika kama ambavyo wanapatiwa mafunzo Maafisa Ushirika.…
Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wa tatu wa G25 African Coffee Summit
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Tatu wa (G25 African Coffee Summit) kwa Nchi zinazolima kahawa Afrika, utakaofanyika Februari 21 na 22, 2025, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa…
Waziri Lukuvi akutana na wadau sekta binafsi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta binafsi katika kikao kilichoratibiwa na Baraza la…