Mpya kutoka kwa T.I imekupita? ‘ Check, Run it’ imenifikia, itazame video yake hapa! (Video)
Baada ya kutengeneza headlines na wimbo wa 'Private Show' aliomshirikisha Chris Brown, T.I amerudi na nyingine mpya wiki hii. Wimbo unaitwa 'Check, Run it' na kama video yake bado haijakufikia…
Ufisadi CCM na UKAWA, CCM Zanzibar, Lowassa na Kikwete, Waislam wa Tz Mecca? (Audio).
Magazeti ya Jumatatu 14 September 2015 yako mtaani tayari kama uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita ninazo hapa zile zote kubwa kwenye vichwa vya habari leo.. Lowassa asema Kikwete ameshindwa kutimiza…
Magazeti ya Tanzania Septemba 14, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Septemba 14, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Kama yalikupita matokeo ya mechi ya Yanga Vs Coastal Union ya Tanga yapo hapa (+Pichaz)
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara klabu ya Dar Es Salaam Young African September 13 wameshuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu dhidi ya klabu ya Coastal…
Kabla ya kuanza kwa mchezo kati ya Yanga Vs Coastal Union hivi ni vikosi vya timu zote mbili (+Pichaz)
Bado michezo ya Ligi Kuu inaendelea baada ya September 12 kufunguliwa kwa pazia la Ligi Kuu Tanzania bara, September 13 Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam unapigwa mchezo wa Ligi…
Watu na Rekodi zao… Huyu kavuta Ndege kwa kutumia masikio yake tu !! (Pichaz+Video)
Johnny Strange kutoka Uingereza, umri wake ni miaka 26, jina lake linaandikwa kwa wino mzito kwenye Kitabu cha Kumbukumbu kubwa Duniani, Guinness World Records baada ya kuandika Rekodi ambayo watu wengi…
Baada ya kushinda pambano la 49, Floyd Mayweather anaachana na mchezo wa Ngumi??
Bondia Floyd Mayweather ni jamaa mwenye rekodi nzuri ambayo ameijenga kwa kipindi chote cha miaka yote 19 aliyoitumia kwenye mchezo wa ngumi..Usiku wa kuamkia leo September 13 2015 kaiendeleza rekodi…
Pichaz za Birthday Party ya Ommy Dimpoz wakiwemo na mastaa mbalimbali
Sherehe za birthday nazo zina uzito wake, Unaambiwa msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ambaye usiku wa Sept 13,2015 alishea siku yake ya kuzaliwa na watu mbalimbali wakiwemo mastaa wengi kutoka…
Headlines za #UchaguziMkuu2015, kazi ya NEC imefikia hapa mpaka sasahivi..
October 25 2015 itaandikwa historia nyingine kubwa Tanzania kwenye Siasa ambapo utafanyika Uchaguzi Mkuu wa kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Tanzania. Nimeipata hii stori kutoka MICHUZI BLOG, Katibu Mkuu ofisi ya…
Taarifa kuhusu Watanzania walioko Mecca Saudi Arabia baada ya ajali kutokea Msikiti Mkuu..
Moja ya Habari zilizogusa Vichwa vingi vya Habari Duniani September 12 2015 ilikuwa Breaking News ya kuanguka kwa winch ya kujengea ambayo ilikuwa inatumika kwenye ujenzi wa eneo la pembeni…