Kauli ya Rio Ferdinand na hatma ya soka lake..
Akiwa bado kwenye majonzi makubwa ya mkewe aliyefariki duniani mwanzoni mwa mwezi huu, beki wa zamani wa Manchester United na timu ya Taifa ya England Rio Ferdinand ameweka wazi mikakati yake mipya katika mahojiano…
Alipandikizwa uso wa marehemu baada ya kupata ajali mbaya…
Ajali nyingi duniani zimekua zikisababisha vifo vya watu wengi huku zikiacha wengine wakiwa na ulemavu wa maisha ambao huwasababishia kupoteza mwelekeo wa maisha yao na kukata tamaa kabisa. Pamoja na…
Kazi baada ya kazi….. baada ya Fast 7, sasa tunaambiwa na terehe ya Fast 8 kabisa.
Hata hatujaisahau Fast and Furious 7, tumeletewa habari kwamba mwendelezo unaendelea wa mfululizo wa movie hizo kwenye sehemu ya 8 ambapo Fast 8 inatarajiwa kutoka April mwaka 2017. It has…
Ni Urais 2015 Tanzania… mengine ya January Makamba yako hapa.
Tume ya taifa ya uchaguzi imeshatangaza kwamba uchaguzi mkuu utafanyika October 2015 ambapo sasa ni headlines zake zinachukua nafasi kwa watu mbalimbali kutangaza nia za kugombea nafasi ya juu ya…
Ninazo Pichaz kutoka Instagram Party Tz….Mei 30 Dar es salaam!!
Wingi wa watumiaji mbalimbali wa mitandao ya kijamii unafanya baadhi ya vitu kuwezekana kirahisi ikiwemo hizi party ambazo zinawahusu zaidi watumiaji wa huduma husika. Naambiwa kuwa kwa sasa Tanzaniana nayo…
#MAGAZETINI MAY 31…Mtoto anyakuliwa na fisi akiwa mgongoni, Safari ya LOWASSA Ikulu na walemavu hatihati kupiga kura!!
MWANANCHI Waziri Mkuu wa zamani, Edward Ngoyai Lowassa amesema ana ari, shauku na uwezo wa kuongoza Taifa wakati alipotangaza nia yake ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM katika mkutano…
AyoTV: Dakika 6 za Aika wa NavyKenzo ! mapenzi yake kwa Nahreel, beef iliyotokea na mengine
Namsogeza kwako mwimbaji Aika kutoka kwenye kundi la Navy Kenzo ambalo linaundwa na watu wawili tu, yaani yeye na boyfriend wake ambaye ni producer Nahreel. Aika alikaa kwenye Exclusive Interview…
Waziri Nyalandu na mkewe Faraja kwenye jarida la bang time hii !
Bang ni miongoni mwa Majarida ya Tanzania ambayo yamekuwepo kwenye headlines kwa muda mrefu ambapo time hii kuna toleo jipya ambalo Waziri wa mali asili Lazaro Nyalandu na mke wake…
Flaviana Matata kwenye tangazo jingine tena New York Marekani.
Ni Watanzania wengi sasa hivi yanatambua uwepo wa Mwanamitindo Flaviana Matata ambaye anaishi na kufanya kazi New York Marekani na amekua akiiwakilisha nchi yake vizuri tu pamoja na kuikumbuka kwa…
Magazeti ya Tanzania leo May 31 2015 na stori zake kubwakubwa za michezo hardnews na dini.
Ungana na mimi tena kwenye post hii ya Magazeti, post maalum ambayo huwepo hapa millardayo.com kila siku kwa ajili ya kuyasogeza karibu yako Magazeti mbalimbali ya Tanzania na habari zake…