Magazeti ya Tanzania Septemba 10, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Alhamisi Septemba 10,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote…
Pondamali ana mipango ya kushirikiana na Yanga kujenga uwanja wa mazoezi? wazo lake lipo hapa (+Audio)
Jina la Juma Pondamali sio jina geni masikioni mwa waliyowengi katika soka hususani watu waliyokuwa wanafuatilia soka la Tanzania miaka ya 80, Pondamali kwa sasa ni kocha wa magolikipa wa…
Maneno ya Diamond Platnumz baada ya kutajwa kuwania tuzo ya MTV Europe Music Awards 2015
Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika tuzo za MTV Europe Music Awards 2015 zitakazotolewa mwezi October 25, 2015 jijini Milani Italy. Msanii huyo…
Mo Music aliingia kwenye Muziki rasmi akiwa darasa la ngapi?, Baba yake kayajibu hapa
Najua nina watu wangu mnaotamani kufahamu historia ya wasanii pindi bado hawajajulikana katika tasnia ya sanaa ukiwa na amu ya kufahamu tabia au kitu alichokuwa analichokuwa anapenda msanii enzi za…
Pichaz 16 za uzinduzi wa kampeni Zanzibar zipo hapa mtu wangu
September 9 Kutoka visiwa vya Unguja Chama cha wanainchi (CUF) kimefanya uzinduzi rasmi wa kampeni na kumnadi mgombea Urais 2015 Maalim Seif Sharif Hamad katika viwanja vya Kibandamaiti …
Hizi ni taarifa nyingine mbaya kwa Emmanuel Adebayor katika timu yake ya taifa…
Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Togo Emmanuel Adebayor bado yupo katika wakati mgumu katika maisha yake ya soka. Adebayor jina lake halipo katika list…
Maneno ya Kalapina kuhusu pingamizi alilolipata dhidi ya mgombea mwenza…
Tukiwa bado tuko kwenye headlines za uchaguzi 2015 time hii nakusogezea stori kutoka kwa msanii wa Hip Hop Kalapina ambaye ni mgombea wa Ubunge jimbo la Kinondoni Dar es Salaam.…
Wande Coal kaja na hii Video nyingine ‘Same Sh*t’ Feat. AKA
Staa wa Nigeria Wande Coal ameachia Video ya ngoma yake mpya 'Same Sh*t' ndani akiwa amemshirikisha rapper kutoka Afrika Kusini AKA. Nakukaribisha hapa kuitazama. https://www.youtube.com/watch?v=-wgnyGcHd8o PAPO KWA PAPO zipate…
Good news nyingine kwa timu zitakazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016.
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF pamoja na afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura wametangaza September 9 kuingia katika makubaliano ya udhamini na mfuko wa Bima…
Ebola imesahaulika Sierra Leone? Hapana, haya ni mengine kutoka huko…
Moja ya matukio ambayo yaliibuka na kutikisa Dunia ilikuwa ni ishu ya Ugonjwa wa Ebola, haikuwahi kushuhudiwa Ugonjwa ambao umesababisha vifo vya watu wengi kama Ebola ilivyofanya ndani ya kipindi…