Wiz Khalifa na Ty Dolla $ign kuachia movie…!? (Video)
Wiz Khalifa na Ty Dolla $ign wanaziandika headlines siku ya leo, baada ya kuachia collabo yao 'Talk About It In The Morning' mwezi March mwaka huu, wawili hao wana mpango…
Mashtaka ya Lawrence MASHA? Karatasi za Kura TZ.. Kampeni… Utalii wa TZ kwenye CNN..? (Stori+Audio)
Inawezekana ulikuwa kwenye foleni na uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita, kazi yangu siku zote ni kuhakikisha zile zote kubwa za asubuhi hazikupiti... Mgombea Urais wa CHADEMA Edward Lowassa amesema hakuna…
Magazeti ya Tanzania Septemba 8, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Septemba 8,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote…
Siku moja baada ya ushindi, Lewis Hamilton kaonesha pichaz za gari lake la kifahari (Pichaz)
Bingwa wa mbio za magari ya Formula One Lewis Hamilton ameonekana akiwa na gari la kifahari kitu kinachotafsiriwa kama sehemu ya kusherehekea ubingwa wake wa hivi karibuni. Hamilton alishinda ubingwa wake…
Mambo yameiva EURO 2016, kikosi cha Uingereza watafikia hoteli hii ya kifahari.. (+Pichaz)
Ni kawaida sehemu ambayo hutarajia kupokea watu wengi katika kipindi fulani, bidhaa na vitu vingine hupatikana kwa gharama za juu sana, kutokana na mkusanyiko wa watu wengi na kama unahitaji…
Nimekusogezea list ya viongozi wanaolipwa pesa nyingi duniani…
Ninayo list ya viongozi wa mataifa mbalimbali duniani wanaoongoza kwa kulipwa pesa nyingi , taarifa ikufikie kwamba anayeshika nafasi ya tano ni Michael D. Higgins ambaye ni rais wa jamhuri…
Hii ndio Shopping Mall iliyopewa jina la rais Jakaya Mrisho Kikwete 88.1 (Mwanza)
Stori ninayokusogezea sasa hivi ni hii kutokea 88.1 Mwanza kuhusu Shopping Mall mpya inayotarajiwa kufunguliwa wakati wowote ambayo itakuwa ikiitwa jina la rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya…
Vincent Kompany kamchezea faulo binti yake Sienna (Video)
Vincent Kompany amezaliwa kuwa mshindi na kiongozi katika mchezo wa soka, Kompany ambaye ni nahodha wa klabu ya Manchester City pamoja na hayo, Kompany ni baba wa familia na anapenda kucheza na…
Diamond Platnumz ametaja tarehe atakayoonekana sura mtoto wake (Tiffah)
Kama umekua ukifuatilia akaunti za Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari tangu mtoto wao Tiffah azaliwe utakua umekutana na picha nusu ambayo anaonekana mtoto wao huyo na sehemu kubwa hua ni…
Baada ya kumaliza beef na Drake, Meek Mill anamtafuta Future…!?
Meek Mill kwenye headlines kwa mara nyingine tena, na kwa muonekano inaonekana kama Meek Mill bado hajatosheka na beefs na pengine time hii anataka kuanzisha beef lingine na msanii mwenzake…