De Gea kusaini mkataba mpya Man United ?
Ikiwa imepita wiki moja tangu usajili wake kuelekea klabu ya Real Madrid kushindikana kwenye dakika za mwisho za dirisha la usajili , kipa wa Manchester United David De Gea amenukuliwa…
Licha ya kukosekana katika kikosi cha Italia, Mario Balotelli bado anaenjoy maisha (Pichaz)
Mshambuliaji wa Liverpool aliyejiunga na AC Milan kwa mkopo Mario Balotelli, ameendelea kufurahia maisha ya kurejea katika klabu ya AC Milan baada ya kuondoka klabuni hapo kwa msimu mmoja, Balotelli akiwa…
Mwanamke kapigwa faini na Askari, lakini bado akaongeza na ‘ASANTE’ yake juu…
Ni kawaida sana kutokea mtu amekosea kabisa barabarani akiwa anaendesha gari lake, trafiki akamkamata kwa kufanya kosa lakini bado mtu huyohuyo atalalamika kweli, kama ameonewa hivi !! Umewahi kusema neno…
Gerard Pique katetewa na Wachezaji wenzake kuhusu ishu ya kuzomewa… Kocha je?
Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania wamewasihi mashabiki wao kuacha kumzomea beki wa klabu ya Barcelona na timu hiyo, Gerard Pique ambaye hivi karibuni amejikuta akiingia kwenye utata mkubwa…
Hawa walihojiwa kabla ya mechi ya Taifa Stars vs Nigeria wakayasema haya
Weekend hii kulikua na mechi ya Tanzania (Taifa Stars) vs Nigeria uwanja wa taifa Dar es salaam ambapo mpaka Full Time game iliishia 0-0 ambapo kuna baadhi ya Watanzania walihojiwa…
Uko tayari kuishuhudia Michuano ya Euro 2016? kuna vitu vyake hapa tayari…
Safari ya kuelekea kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Ulaya mwaka 2016 nchini Ufaransa imeanza kuiva baada ya timu tatu kukata tiketi ya kufuzu kwenye michuano hiyo baada ya…
Sintofahamu ya LOWASSA, Maneno ya GWAJIMA,Dk.1 kupiga kura, Nchi gizani, JK..#StoriKubwa
MWANANCHI Ikiwa zimebaki siku 47 kabla ya kufanyika Uchaguzi Mkuu, imebainika kuwa kila mtu atatumia wastani wa dakika moja kupiga kura kuchagua diwani, mbunge na rais. Mwenyekiti wa Tume ya…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Septemba7, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Uhakiki wa BVR mwisho? Lowassa na sintofahamu.. kupiga kura dakika moja? Ukosefu wa umeme TZ.. (Audio)
Ni Jumatatu ya September 7 2015 na tayari ninazo zile zote zinazoweka headlines kwenye kurasa za Magazeti Tanzania, kazi yangu ni kuzisogeza kwako zote moja baada ya nyingine. Uhakiki wa…
Magazeti ya Tanzania Septemba 7, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatatu Septemba 7,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote…