David Beckham anatarajiwa kucheza movie ya James Bond 007…
Staa wa zamani wa klabu za Real Madrid, Man United, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza David Beckham anatarajiwa kuonekana katika movie. Beckham mwenye umri wa miaka 40, imeripotiwa…
Pichaz za Neymar alipokutana na pacha wa mcheza tennis New York…
Winga wa kimataifa wa Brazil na klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar ameingia katika headlines akiwa New York, Neymar ambaye yupo New York na timu yake ya taifa ya…
Hadi July 2014 hawa ndio mastaa 12 wa soka wanaotajwa kuwa wakali wa mitindo (Pichaz)
Hadi July 2014 mtandao wa artbecomesyou.com ulikuwa unawataja mastaa kadhaa wa soka kuwa ndio wakali wa style za mavazi. Licha ya watu wengi kuwa wanaamini kuwa ukiwa na fedha, utakuwa…
Hii ni list ya mastaa wa movie na soka wanaofanana, Di Maria, Messi na Kolou Toure wapo pia…
Kuna usemi unaosema duniani watu wawili wawili kwa maana ya kuwa kila mtu duniani ana mtu aliyefanana naye. Huenda ukawa hujawahi kuonana na mtu unayefanana naye ila huwa inaamika kuwa…
Hizi ni sababu za Memphis Depay wa Man United kutotumia jina la baba yake katika jezi…
Winga mpya wa klabu ya Manchester United Memphis Depay ameingia kwenye headlines, kama ambavyo huwa ni kawaida kwa mastaa kuingia katika headlines za vyombo vya habari kutokana na maisha yao…
Msimamo wa Juma Nature kwenye headlines za Uchaguzi 2015……
Wakati siasa ikiendelea kuchukua Headline na baadhi ya mastaa wakionesha hisia zao na mapenzi yao kwa watu ambao ni wagombea kwa vyama mbali mbali, leo Msanii wa bongo fleva…
Didier Drogba adhihirisha ubora wake Ligi Kuu Marekani (Pichaz&Video)
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ivory Coast Didier Drogba, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Montreal Impact inayoshiriki Ligi Kuu Marekani (MLS), ameanza vizuri katika mechi…
Utundu wa Cristiano Ronaldo na Ricardo Quaresma katika ndege kabla ya kuelekea Albania (Pichaz)
Kikosi cha timu ya taifa ya Ureno kilisafiri Jumamosi ya September 5 kuelekea Albania kucheza mechi ya kuwania tiketi ya kucheza michuano ya Euro 2016. Mchezo utapigwa Jumatatu ya September…
Hizi ni hoteli 10 kongwe lakini bado ni za kifahari zaidi duniani (Pichaz)
Mindombinu bora ni mj aya sababu inayofanya miji kukua kwa kasi sana hasa kwa nchi zinazoendelea duniani. Katika pitapita zangi nimekutana na hizo hoteli kubwa na Maarufu duniani ambazo…
Ninazo picha 30 za muonekano wa Rock City Shopping Mall ya Mwanza a.k.a Mlimani City yao….
Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote na hapa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea 88.1 (Mwanza) kuhusiana na ule ujenzi wa Mall inayoitwa Rock City Shopping Mall aka Mlimani…