Wayne Rooney kaweka rekodi hii mbele ya mkewe Coolen na mtoto wake Kai (Pichaz)
Kama ambavyo ilivyokuwa kwa upande wa bara la Afrika kuliwa na michezo kadhaa kupigwa weekend hii na bara la Ulaya ilipigwa michezo kadhaa ya kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro 2016.…
Jinsi kilivyohappen kwenye Tamasha la Nyama choma Festival Dar…. (picha)
Ni kijiwe kingine kabisa ambacho kinawakutanisha watu wa nguvu kwenye mikoa mbalimbali Tanzania, hapa inaliwa nyama choma, marafiki wanakutana na kuenjoy good music pembeni, michezo ya watoto, burudani ya live band…
Mapya ya Dr.SLAA, Wanafunzi kutofanya mitihani,Ofa ya Makamba,LOWASSA,MAGUFULI…#StoriKubwa
HABARILEO Mwanasiasa mkongwe nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Chrisant Mzindakaya amewataka Watanzania wasikubali kupiga kura kwa ushabiki. Ameonya kuwa upigaji kura kwa ushabiki, utaligharimu taifa hivyo…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 7 ya Tanzania Septemba6, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Magazeti ya Tanzania Septemba 6, 2015.. Michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Septemba 6,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote ziko…
Pichaz za uharibifu na vurugu za mashabiki waliyo hudhuria katika mechi ya Hungary Vs Romania..
Sehemu yoyote panapokuwa na mkusanyiko wa watu wengi, chochote kinaweza kutokea kutokana na wingi wa watu, hii imetokea katka mechi kati ya Romania dhidi ya Hungary ambapo mashabiki waliamua kufanya fujo…
Top 10 ya thamani ya tweet za wanamichezo, Cristiano Ronaldo kaongoza…
Umeshawahi kujiuliza kwa nini mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo hutumia account yake ya twitter kuitangaza kampuni ya nguo ya kwao Ureno, Unajua…
Matokeo ya mechi ya Taifa Stars Vs Nigeria yapo hapa mtu wangu (Pichaz)
Timu ya taifa ya Tanzania na Nigeria September 5 zimekutana kucheza mechi ya kuwania tiketi ya kufuzu kucheza AFCON 2017, ikiwa ni zaidi ya miaka 20 toka zikutane katika mechi…
First eleven ya timu zote mbili Taifa Stars Vs Nigeria ipo hapa…..
Kabla ya mechi kuanza naomba nikusogezee first eleven ya timu zote mbili. Taifa Stars Vs Nigeria, mechi itakayopigwa muda mchache kuanzia hivi sasa uwanja wa Taifa Dar Es Salaam. PAPO…
Pichaz za mwanzo kutoka Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, Taifa Stars Vs Nigeria
Kabla ya kuanza kwa mechi ya Taifa Stars Vs Nigeria, nimeona nikusogeze karibu na uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, hali ilivyo muda mchache kabla ya mechi kuanza. Vikosi vya timu…