Shabiki wa Juventus amefanya hivi kwa ajili ya Juan Cuadrado kujiunga na klabu hiyo…
Winga wa kimataifa wa Colombia na klabu ya Chelsea Juan Cuadrado ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo katika klabu ya Juventus ya Italia, shabiki wake kafanya jambo hili la kuvutia baada ya…
Du!!! familia ya David Beckham inamuhesabu Olive kama sehemu ya familia…
Mke wa mchezaji wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza Victoria Beckham amemuonyesha Olive na kuandika huku akijivunia kuwa ni sehemu ya familia yake. Olive…
Baada ya Fabrice Muamba kuachana na soka kwa matatizo ya moyo, Vipi kwa Jack Sock?
Ugonjwa wa moyo ni ugonjwa ambao unawasumbua watu wengi, kwa wanasoka ugonjwa huu mara nyingi hufanya wastaafu soka ili kulinda maisha yao, iliwahi kumtokea uwanjani Fabrice Muamba wakati anachezea klabu…
Maneno ya Steve Nyerere baada ya msanii wa kike wa filamu kuondoka UKAWA kuhamia CCM
Stori ninayotaka kukusogezea ni kutokea kwenye siasa ambayo inamuhusu msanii wa kike wa filamu, Chuchu Hans ambaye hivi karibuni alikuwa ni miongoni mwa wasanii wanaomsupport mgombea wa Urais kupitia UKAWA,…
Mahakama ya kimataifa ya ICC kusimamia uchaguzi 2015?, majibu yako hapa
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015 kuna taarifa ambazo zilikuwa zinasambaa hivi karibuni kwamba Mahakama ya kimataifa ya ICC itakuja Tanzania kusimamia Uchaguzi. Sasa leo ripota wa millardayo.com &…
Milango ya Cinema iko wazi leo Dar es salaam, movie zinazoonyeshwa nimekuwekea hapa na Trailer
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es salaam ratiba ya movie na Trailers zake nimekuwekea hapa mtu wangu. Location ni Mlimani City-Cinema…
Huenda hiki kikawa kipaji kingine cha Luis Suarez wa FC Barcelona (Video)
Luis Suarez ambaye ni mchezaji tegemeo wa klabu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Uruguay, ameingia kwenye headlines baada ya kufanya tangazo hili, Suarez ambaye amewahi kuingia katika…
Beki mpya Chelsea kawasili, ila usitegemee kumuona Ligi ya Mabingwa Ulaya…
Klabu ya Chelsea ya Uingereza ilimsajili beki wa kimataifa wa Senegal aliyekuwa anaichezea klabu ya FC Nantes ya Ufaransa Papy Djilobodji kwa dau la pound milioni 3, Chelsea ilimsajili Papy Djilobodji katika…
Hii ni nyingine mpya kutoka kwa Future; ‘Blood On The Money’ – (Video)
Future kwenye headlines za burudani, baada ya kuachia wimbo mpya wiki chache zilizopita, msanii huyo wa Hiphop amerudi tena kuziandika headlines kwenye kurusa za burudani. 'Blood on the Money' ni…
Uliipata hii ya David James kupewa adhabu na kocha ya kuendesha gari ya matairi matatu? kilichofuata….
Wazungu wana vitu vingi sana vya kushangaza tofauti na sisi kwetu Afrika, wapo wazazi wa kizungu wana tabia ya kutumia mfumo wa kidemokrasia ili kumkanya mtoto. Katika mpira wa miguu…