Danny Welbeck afanya Arsene Wenger azidi kulaumiwa….
Kocha wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger ametoa taarifa za mshambuliaji wa kimataifa wa Uingereza na klabu ya Arsenal Danny Welbeck... Wenger alikuwa na matumaini ya kuwa Welbeck atarejea Uwanjani baada ya…
GWAJIMA ashtakiwa,Mwanafunzi na mauaji, LEMA mbaroni,LOWASSA, MAGUFULU,Mke wa SLAA..#StoriKubwa
MTANZANIA Kwa vijana wa mjini, wanaweza kusema kwamba alichofanya Dk. Willibrod Slaa juzi kwa kuachana na siasa na kurusha tuhuma kwa chama chake, ni sawa na kumwaga ugali, na majibu…
Tayari #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Septemba4, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Mourinho, Ronaldo na Smalling wameingia katika kitabu cha Guinness World Records
Baadhi ya wanamichezo duniani akiwemo Jose Mourinho, Frank Lampard na Cristiano Ronaldo wameingia katika kitabu cha kipya cha Guinness World Records ambacho toleo jipya litatoka Septemba 10, Mastaa hao wamepewa heshima ya…
Siri CCM na UKAWA nje, Mke wa DK.Slaa afunguka, Magufuli na wazawa wa gesi, Lowassa na ‘Operation Tokomeza? (Audio).
Uchambuzi wa Magazeti @CloudsFM ni sehemu inayokupa habari zote zilizoweka headlines magazetini, kazi yangu ni kukusogezea zile kubwa kubwa kwenye vichwa vya habari... Siri yafichuka CCM na UKAWA vyama hivyo…
Magazeti ya Tanzania Septemba 4, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Septemba 4,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote…
Sio simu ya Mourinho pekee ndio ilitosha kuwapiku Man United kwa Pedro, hili nalo lingine la kufahamu…
Kadri siku zinavyo zidi kwenda tuna anza kujua mambo mengi yaliyokuwa nyuma ya pazia la usajili wa vilabu mbalimbali barani Ulaya, vipo vilabu ambavyo vilikosa wachezaji kwa sababu ya dau…
Pichaz za mapokezi ya Dimitar Berbatov katika klabu ya PAOK ya Ugiriki….
Licha ya kuwa alishindwa kutamba katika klabu ya Manchester United kama ilivyokuwa matarajio ya wengi Dimitar Berbatov aliamua kutimkia katika klabu ya Fulham, AS Monaco na sasa kajiunga na klabu…
Du!!! Arsene Wenger muongo kuhusu usajili wa Benzema, maneno ya Paul Merson yapo hapa…
Winga mahiri wa zamani wa klabu ya Arsenal ya Uingereza amefunguka na kusema kuwa kocha wa sasa wa klabu hiyo Arsene Wenger ni muongo. Paul Merson ambaye amewahi kukitumikia kikosi Arsenal…
Itazame na hii mpya kutoka kwa Taylor Swift; ‘Wildest Dreams’ – (Video).
Baada ya kufanya show kali ya ufunguzi kwenye tuzo za MTV VMA's 2015, Taylor Swift hajaona sababu ya kuishia hapo, Taylor karudi na hii mpya mtu wangu inaitwa 'Wildest Dreams',…