TID kwenye tuhuma za kupigana, zina ukweli wowote? amesikika kwenye #Uheard ya Soudy Brown
Soudy Brown kapata tetesi kuwa TID amempiga mwenzake Nataly Mdananda na kuamua kumtafuta ili kujua ukweli wa tukio hilo. Anasema siku ya Jumamosi alimpiga kibao na kuyumba kisha akamsukuma hadi…
Ninayo taarifa mpya kutoka TFF kuelekea mchezo wa Taifa Stars Vs Nigeria Septemba 5
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF kupitia kwa mkuu wa idara ya habari wa shirikisho hilo, Baraka Kizuguto ametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelekea mchezo wa Taifa Stars…
Hekaheka ya msichana wa kazi kufanyiwa unyama Oman, Wizara ya mambo ya nje imezungumza..(Audio)
Baada ya Hekaheka ya binti wa kazi aitwaye Sada kupelekwa Oman kufanya kazi za ndani na kufanyiwa unyama na wenyeji wake kias chakurudi akiwa hawezi kuzungumza wala kusikia, leo Wizara…
Kutoka Mauritius, Tamasha la MultiChoice Africa! Genevieve Nnaji na wengine ndani.
Ni utaratibu ulioanza mwaka 2014 kwa kampuni ya Multichoice kukutana na Waandishi wa habari/Watangazaji kutoka nchi mbalimbali za Afrika kuonyesha na kuyazungumzia kwa upana vipindi na mengine mengi yanayopatikana kupitia…
UKAWA kutumia CHOPA, Siri hotuba ya Dk.SLAA, daraja la Salenda, ROSTAM, Kipindupindu na mengine ya Magazeti
MWANANCHI Rais Kikwete alisema hayo juzi katika hafla ya kuagana na wapiganaji na walinzi wa usalama iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Alisema ili kuimarisha ulinzi na…
Kabla ya Kanye West kulikuwa na hawa 9 kwenye maisha ya Kim Kardashian…(Pichaz)!
Kim Kardashian ni staa wa Tv na Social Media pia ni actress, mfanyabiashara, model na mama aliyepata attention ya kwanza na media kupitia urafiki wake na model Paris Hilton lakini badaae…
Tayari #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania Septemba3, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
TBT: pichaz za mastaa wa soka Steven Gerrard na Luis Suarez wakiwa wadogo enzi hizo
Septemba 3 2015 nakusogeza na TBT picha za mastaa wa soka wakati wapo watoto. Kevin De Bruyne jamaa aliwahi kucheza Chelsea bila mafanikio na kuishia kupelekwa kwa mkopo katika vilabu…
Ugeni mwingine kwenye familia ya Mr Blue…
Msanii wa muziki wa Bongo Flava Mr Blue ana sababu kubwa sana ya kufurahia siku hii ya leo, dakika chache zilizopita Mr Blue ameshare na sisi furaha yake kubwa ya…
CHADEMA feki polisi, Sumaye mzigo UKAWA, Magufuli amaliza kazi, El Nino tishio kubwa + Mabomu Kagera je?! (Audio).
Inawezekana ulikuwa mbali na radio yako na pengine uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita, nimefanya jitihada kukusogezea zile zote zilizoweka headlines magazetini baadhi zikiwa... CHADEMA feki walioandamana maeneo ya Moroco Kinondoni…