Nahodha wa timu ya Taifa ya Nigeria kajitoa kikosini kisa ni hiki….
Nahodha wa timu ya taifa ya Nigeria na golikipa wa klabu ya Lille ya Ufaransa Vincent Enyeama, siku ya Septemba 2 ameingia katika headlines na shirikisho la mpira wa miguu Nigeria…
Mfahamu Anthony Martial aliyesajiliwa na Man United, mkewe na mtoto wake (Pichaz&Video)
Klabu ya Manchester United imemsajili mshambuliaji mwenye umri wa miaka 19 kwa dau la pound milioni 36 akitokea klabu ya Monaco ya Ufaransa, Anthony Martial lakini mashabiki wamekuwa wakihoji kiwango…
Issue ya Rich Mavoko kutapeli kufanya shoo ni kweli? ipo kwa Soudy Brown..#Uheard (Audio)
Leo Promota Ali babu amesikika kwenye Uheard na kusema aliongea na Rich Mavoko biashara ya Shoo iliyokuwa ifanyike Namanga lakini hakuweza kutokea wakati alishamlipa nusu ya fedha zake. Baada ya…
Kauli za Thierry Henry baada ya Wenger kushindwa kusajili mshambuliaji….
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa Thierry Henry, ameongea maneno ya kumtetea kocha wa Arsenal Arsene Wenger baada ya kufungwa kwa dirisha la…
Gharama ya Video ya ‘Cheza kwa Madoido’, sheria ya mitandao na Msiba wa msanii kutoka Pah One..#255(Audio)
Zilizonifikia leo kutoka kwenye meza ya 255 ni pamoja na stori kutoka Yamoto Band, Meneja wao amesema video ya wimbo wao mpya wa 'Cheza kwa Madoido' imetumia kiasi cha dola…
Pichaz za Kevin De Bruyne na mpenzi wake baada ya kurejea Uingereza….
Kiungo mpya wa klabu ya Manchester City aliyejiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Wolfsburg ya Ujerumani kwa dau la pound milioni 54, Kevin De Bruyne anaonekana kuwa na furaha na…
Mwendelezo wa Hekaheka ya msichana wa ndani kuteswa akiwa Oman imefikia hapa…(Audio)
Leo ni mwendeleo wa Hekaheka ya jana ya binti aliyekwenda Oman kufanya kazi za ndani lakini kutokana na kutolipwa hela zake aliamua kurudi nyumbani kwao Tanzania. Alisema alipokuwa huko licha…
Licha ya kustaafu soka Beckham amepewa Tuzo hii….(Pichaz)
Winga wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United David Beckham usiku wa Septemba 1 alipewa Tuzo ya Heshima. Licha ya kuwa amestaafu bado mchango…
Tinashe karudi na hii mpya ‘Bet’ na video yake ninayo hapa tayari. (Video).
Baada ya kuweka headlines na '2 On', 'All hands on Deck' msanii wa R&B Marekani Tinashe anarudi tena kuziandika healines kwenye kurasa za burudani. Time hii Tinashe anaisogeza kwetu 'Bet'.…
Wake wa Marais wa Afrika wenye mvuto zaidi…A.Mashariki naye hajakosekana!!(Pichaz)
Wake wengi wa Marais husifika kwa kuwa na muonekano mzuri mbele ya jamii inayowazunguka na pia hutumia nafasi zao kuhakikisha wanakuwa katika mazingira mazuri na ya kuvutia wakati wote. Hapa…