Wake wa Marais wa Afrika wenye mvuto zaidi…A.Mashariki naye hajakosekana!!(Pichaz)
Wake wengi wa Marais husifika kwa kuwa na muonekano mzuri mbele ya jamii inayowazunguka na pia hutumia nafasi zao kuhakikisha wanakuwa katika mazingira mazuri na ya kuvutia wakati wote. Hapa…
Serikali yawakana walimu, Maneno ya Maaskofu kwa SLAA,MAGUFULI,Rufaa za wagombea..#StoriKubwa
NIPASHE Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemshikilia na kumhoji kwa zaidi ya saa tano mgombea ubunge wa Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia…
Ninazo tayari #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Septemba2, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Safari hii ni zamu ya Yamoto Band; ‘Cheza kwa madoido’ kutambulishwa rasmi MTV Base leo!
Yamoto Band kwenye headlines za burudani, baada ya kuachia video ya wimbo wao 'Cheza kwa madoido' sasa ni muda wa kuitambulisha ngoma hiyo kwenye kituo kikubwa cha burudani Africa! Cheza…
Slaa ajilipua, UKAWA waahidi vita dhidi ya maadui, Rais Kikwete kuagwa + NEC kufuta rufaa? (Audio).
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Zipo zile zote zinazoweka headlines leo September 2 2015, kazi yangu ni kukusogezea zile kubwa kwenye vichwa vya habari baadhi zikiwa... Dk. Wilbroad Slaa ajilipua…
Magazeti ya Tanzania Septemba 2, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Septemba 2,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Chelsea yamsajili Michael Hector kutoka Reading, lakini yafanya maamuzi haya…
Klabu ya soka ya Chelsea imefunga dirisha la usajili msimu huu kwani, kwa Uingereza dirisha la usajili lilikuwa limefungwe jioni ya Septemba 1 wakati kwa upande wa Hispania na Ufaransa…
Huyu ndio mshambuliaji mpya aliyesajiliwa na Man United
Dakika zipatazo 40 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya kufungwa, klabu ya Manchester United imetangaza usajili wa mshambuliaji mpya. Mshambuliaji huyo ni Anthony Martial, kinda mwenye miaka 21,…
Dau la usajili wa Anthony Martial Man United lamfanya Wayne Rooney aulize maswali haya…
Klabu ya Manchester United ya Uingereza ipo karibuni kumsajili mshambuliaji chipukizi kutokea Monaco ya Ufaransa, licha ya kuwa bado haijathibitika kuwa wamemsajili ila tayari Anthony Martial ameripotiwa kufanya vipimo vya afya…
Arsene Wenger kumsajili Edinson Cavani? Picha ipo hapa iliyonaswa wakiwa Paris usiku wa Aug 31…
Klabu ya Arsenal ya Uingereza ambayo kwa siku za hivi karibuni imeripotiwa kutafuta mshambuliaji wa kati, lakini ikawa inahusishwa kutaka kumsajili Karim Benzema kabla ya kocha wa Arsenal Arsene Wenger kukata…