Idadi ya wapiga kura wa LOWASSA, MAGUFULI na ilani ya UKAWA, ZITTO Waziri Mkuu,CHILIGATI?..#StoriKubwa
MWANANCHI Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania August 31, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Lowassa na Magufuli mchakamchaka, Afariki baada ya kuzindua kampeni, + Walimu kugoma!? (Audio).
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Ninazo zile zote zilizoweka vichwa vya habari magazetini leo August 31 2015 chache zikiwa... Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema mabadiliko ya…
Magazeti 19 ya Tanzania August 31 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ju matatu Agosti 31,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews,…
Mapenzi ya Games za Play Station zamfanya shabiki huyu kuchezesha mechi akiwa jukwaani !!!!
Mchezo wa soka ni mchezo ambao hupendwa na watu wengi ila kitu ambacho huvutia zaidi uwanjani ni pale kila shabiki wa timu fulani anavyo furahia kwa style yake, hii ni mpya…
Kevin De Bruyne kavunja rekodi ya Raheem Sterling Manchester City (Picha)
Klabu ya Manchester City ya Uingereza ambayo ilikuwa ni moja kati ya vilabu vingi vilivyo kuwa vikihusishwa na kumsajili kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji na klabu ya Vfl Wolfsburg…
Maneno ya Zitto KABWE na ya Mgombea Urais ACT wakati wa uzinduzi wa kampeni Leo..
Chama cha ACT Wazalendo leo walikuwa wakizindua kampeni zao Katika viwanja vya Mbagala Zahkeem kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25. Pamoja na kuzindua kampeni hizo pia walikuwa wakimtambulisha mgombea wao wa…
Nimekusogezea picha 30 za uzinduzi wa kampeni za ACT wazalendo
Bado harakati za uzinduzi wa kampeni za siasa zilikuwa zikiendelea katika maeneo tofauti Dar Es Salaam, August 30 ilikuwa ni siku ya uzinduzi wa kampeni za chama cha ACT- Wazalendo…
Siku 3 kabla usajili kufungwa – Neymar ameyasema haya kuhusu kujiunga na Man United
Yakiwa yamebakia masaa takribani 72 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya kufungwa, winga wa kibrazil Neymar ambaye amekuwa akihusishwa na kujiunga na Man United hatimaye ametoa kauli yake. …
MAGUFULI akana kulazwa ICU, LOWASSA Jangwani, SUMAYE alipuka, MWAKYEMBE na Richmond..#StoriKubwa
MWANANCHI Wakati Waziri Mkuu wa zamani, Fredrick Sumaye akitangaza kuihama CCM, alidokeza kuwa siku moja chama hicho kitaona umuhimu wake, na jana alianza kuonyesha hilo alipopangua hoja dhidi ya…