Shabiki wa West Ham United kafanya hivi kusherehekea ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Liverpool (Picha)
Kwa mujibu wa John High shabiki wa klabu ya West Ham United ya Uingereza amekiri kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa ni miaka 52 sasa klabu ya West Ham United…
Magazeti ya Tanzania Agosti 30, 2015.. Michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumapili Agosti 30,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Michezo na Hardnews, zote ziko hapa…
Nikusogezea karibu na hotuba ya viongozi wa UKAWA mtu wangu (+Audio)
Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani August 23 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilizindua kampeni zake za kunadi sera zao na ilani ya chama chao utaratibu huo…
Sentensi za Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Pombe Magufuli mkoani Njombe ziko hapa….
Siasa zinaendelea kugusa headlines za habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine kwa ajili yako mtu wanguvu.. hii inahusu mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt John…
Nimekusogezea matokeo ya Arsenal vs Newcastle na Man City vs Watford
Ikiwa imeshinda mechi tatu mfululizo katika msimu mpya wa ligi kuu ya Uingereza, klabu ya Manchester City leo imeendelea kuilinda rekodi yake ya kushinda kwa 100% katika mfululizo wa mechi…
Maneno ya SUMAYE, MBATIA, MBOWE na LOWASSA wakati wa uzinduzi wa kampeni UKAWA..
Katika viwanja vya vya Jangwani, Dar es salaam UKAWA wamezindua kampeni zao kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25. Viongozi mbalimbali walikuwepo katika uzinduzi huo na kuzungumza mambo mbalimbali kwa Wananchi waliojitokeza…
Full time ya Liverpool vs West Ham nimekuwekea hapa
Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika Barclays premier league. Wakicheza…
Kilichoikuta Chelsea vs Crystal Palace hiki hapa
Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea leo katika viwanja mbalimbali nchini humo. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa Crystal Palace kuharibu…
Hawa ndio wasanii mbalimbali waliojitokeza viwanja vya Jangwani kwenye kampeni za UKAWA… (picha)
Endelea kukaa na mimi mtu wako wa nguvu kwenye Facebook, twitter na instagram kupitia jina langu la 'millardayo' nakusogezea kile kinachoendelea kutoka kwenye kampeni za UKAWA katika viwanja vya Jangwani…
Kutoka kwenye usiku wa Christian Bella na Yamoto Band (Picha 23)
Ni wajibu wangu mtu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hii nisingependa ikupite, Usiku August 28 ilikuwa ni usiku wa aina yake kwa upande wa burudani na ilitendewa haki na…