Mikakati ya kamati mpya ya Miss Tanzania, Ukimya wa kundi la UVC, Mr Nice na hatma ya muziki wake…#255 Audio
Leo kwenye zile stori za 255..Baada ya Miss Tanzania kufunguliwa rasmi na BASATA na kupata kamati mpya yenye wajumbe 12, leo kasikika Msemaji mkuu wa kamati hiyo mpya Jokate Mwegelo…
Mwendelezo wa Hekaheka ya mama aliyemwachia mtoto dokta imefika kwa Ustawi wa Jamii…(Audio)
Wiki nzima timu ya Hekaheka ilikua ikizungumzia tukio la mtoto aliyezaliwa kisha mama yake kumwachia daktari na kushindwa kuafikiana hadi mtoto alipotimiza miezi tisa akiwa analelewa chini ya dokta. Mtoto…
Hii ni ahadi ya Edo Kumwembe aliyotimiza baada ya miaka 12 toka ahaidi….(+Audio)
Ni kawaida au rahisi kwa binadamu kuahaidi kitu katika maisha yake ila katika suala la utekelezaji ni wachache sana wanaoweza kutimiza huenda ni kwa makusudi au bahati mbaya wamesahau. August 28…
Chris Brown kwenye headlines, apongezwa kwa idadi ya mauzo, single & watazamaji wengi YouTube! (Pichaz)
Chris Brown ana sababu nyingi za kusherekea weekend hii na starehe zote za dunia, siku ya Alhamisi (tarehe 27 August) staa huyu wa muziki wa R&B Pop alichukuwa time na…
Hizi ni sekunde 15 za video mpya ya Chris Brown: ‘Liquor’ (VideoTeaser)
Headlines za Chris Brown ni mpya kila siku mtu wangu... siku chache zilizopita Chris Brown alitangaza kuwa anaipa Album yake mpya jina la mwanae 'ROYALTY' ikiwa zawadi kwa mwanae ambaye amechangia kwa…
Usain Bolt kwenye headlines tena Beijing China (Picha&Video)
Mwanariadha kutokea Jamaica Usain Bolt August 28 amerudi tena katika headlines za mchezo wa riadha, Bolt ameshashinda medali nyingi za riadha ila August 27 Beijing China alithibitisha ubora wake kwa kushinda…
Familia yateketea moto Dar, Maneno ya Mama LOWASSA, Kampeni za UKAWA, Kipundupindu…#StoriKubwa
NIPASHE Benki ya Dunia (WB), imeipatia Serikali ya Tanzania mkopo wa Dola milioni 200 za Marekani (sawa na Sh. bilioni 422) kwa ajili ya kusaidia uboreshaji wa huduma za afya…
Ashley Young, Morgan Schneiderlin wa Man United waungana na wachezaji wengine katika mashindano ya ADIDAS (Picha)
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Kijerumani ADIDAS ambayo ni wadhamini wa vilabu kadhaa vya soka barani Ulaya imeandaa mashindano maalum ya kutangaza jezi mpya za timu walizozidhamini. Mashindano hayo…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 ya Tanzania August 28, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Baada ya kimya kingi… Adele atangaza ujio wake mpya na: ’25’!
Imepita miaka 4 toka msanii wa muziki wa Pop kutoka Uingereza Adele aachie album yoyote. Baada ya album yake ya mwisho '21' ya mwaka 2011 Adele alitangaza kuwa hatotoa album…