Majibu ya James Mbatia kuhusu haya >> UKAWA kuzuiwa kutumia Uwanja wa Taifa, Uchaguzi na Dk. Slaa… (Audio)
James Mbatia ni mmoja wa Viongozi wa Umoja wa UKAWA, August 20 2015 amekutana na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya NCCR- Mageuzi, Ilala Dar. Kazungumzia kuhusu…
Ninayo sauti ya Jamal Malinzi akithibitisha kwenda kwa wachezaji watano Orlando Pirates (+Audio)
August 20 Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF Jamal Malinzi alithibitisha kukubaliwa na mmiliki wa klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini Irvin Khoza kupeleka vijana watano wenye…
Picha 8 za Nicolas Otamendi akiwa katika klabu ya Man City na alivyokutana na Aguero
Kocha wa klabu ya Manchester City ya Uingereza Manuel Pellegrini August 20 amekamilisha furaha yake ya kumsaini moja kati ya mabeki bora anaowaamini na alikuwa akimuhitaji kwa muda sasa kabla…
Hatimaye ACT Wazalendo wamempata Mgombea mwingine wa Urais baada ya Dk. Kitila Mkumbo kujitoa..
Chama cha ACT-Wazalendo kiliingia kwenye Vichwa vya Habari kubwa za Siasa Tanzania kwa siku tatu mfululizo kutokana na ishu ya Mwakilishi wa Chama hicho kwenda Ofisi za Tume ya Uchaguzi…
Simba kumleta Papa Niang kutoka Senegal? Hii ni sababu inayoongeza uwezekano wa kumpata
Klabu ya soka ya Simba bado inaendeleza usajili wake kimya kimya kwani baada ya kusajili wachezaji kadhaa katika msimu huu bado huenda ikamuongeza mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal aliyekuwa anaichezea…
Kuna hizo Hotel za kifahari zipo katikati ya ya maji nimekusogezea hapa…(Pichaz)
Katika pitapita zangu kwenye mitandao nimekutana na hizi hoteli zenye mvuto zaidi dunini ambazo zimejengwa ndani ya maji mtu wangu. Unaweza kuzitazama na kuniambia ipi imekuvutia zaidi.. …
Kifaa kipya toka FC Barcelona ndani ya jezi ya Chelsea
Habari nyingi kwa sasa katika michezo ni kuhusiana na usajili wa wachezaji mbalimbali ndicho kitu kinacho weka headlines kubwa katika vyombo vya habari, ilikuwa ni kuhusiana na Pedro Rodriguez kuhamia…
Msami kazungumzia safari ya Irene Uwoya Bungeni…#UHeard Audio)
Irene Uwoya baada ya kushinda vita maalum hakusikika kwenye vyombo vya habari akizungumza lolote juu ya ushindi huo...lakini Soudy Bown hakuridhika na ukimya wake akaamua kumtafuta mtu wake wa karibu…
Ninayo Ripoti toka China, hawa ndio waliokamatwa ndani ya mwezi mmoja kwa wizi mitandaoni ..!!
Bado kama wiki moja na nusu kushuhudia Sheria ya Kudhibiti Matumizi ya Mitandao Tanzania ikianza kufanya kazi rasmi kabisa, hiyo ni kutokana na taarifa rasmi kabisa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano…
Nahreel kufungua chuo cha Production? Ukimya wa Juru? kurekodi Video au audio Kenya ni kiasi gani?.. #255 (Audio)
Producer mkali Bongo, Nahreel kumbe yupo kwenye mpango wa kufungua chuo cha Production ya muziki?? amesema mafunzo ya production yataanza hivi karibuni na yatachukua wanafunzi wengi ambao wanahitaji kujifunza mambo hayo. Nahreel…