Dili la Song kujiunga na West Ham United limegeuka hivi…..
Kiungo wa kimataifa wa Cameroon ambaye amewahi kuichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza kwa muda mrefu kabla ya kutimkia FC Barcelona ya Hispania Alex Song na msimu uliopita kuitumikia klabu ya West…
Juma Kaseja kamaliza uvumi, kajiunga na klabu ya Mbeya City
Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu golikipa mkongwe na mahiri Juma Kaseja kuwa bila timu na kuhusishwa kujiunga na vilabu mbalimbali hatimaye uvumi huo umemalizika August 19…
Ester Bulaya hakuwa na mpango wa kuhama CCM ila….
Najua nina watu wangu wanaopenda stori za siasa sasa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa aliyekuwa mbunge wa viti maalumu kupitia CCM Ester Bulaya pamoja anaonekana kwenye headlines mpya…
Updates:Hii ni idadi mpya ya wagonjwa wa kipindupindu hospitali ya Mwananyamala Dar es Salaam
Jana nilikusogezea stori kutoka hospitali ya Mwananyamala kuhusu kupokea idadi ya wagonjwa wa kipindupindu 20 na kufariki kwa watu watatu, sasa leo ripota wa millardayo.com amefika tena hospitalini hapo kuhakikisha kinachoendelea…
List ya Top10 ya stori zilizosikika kwenye Amplifaya ya CloudsFM Agosti 19 2015
Kama utaweza kuwasha radio yako na kujiunga na CloudsFM kila Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku utakutana na mtu wako wa nguvu Millard Ayo ambaye kazi yake ni…
Hii ni kazi ya kwanza rasmi Ivo Mapunda amewahi kuifanya kabla ya kuacha na kuingia katika soka
Kama ulikuwa unafikiri Ivo Mapunda mpira ndio ilikuwa kazi yake rasmi ya kwanza basi utakuwa unakosea, Ivo Mapunda ambao wengi tumemfahamu kupitia kipaji chake cha soka na umairi wake wa…
Professor Jay achukua fomu ya kugombea ubunge 2015
Good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya msanii mkongwe wa Hip Hop, Joseph Haule a.k.a Professor Jay naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika…
Rais JK na Dk. Magufuli walivyokutana kuongea na wazee Dar August 19 2015… (Pichaz)
Siasa zinaendelea kugusa headlines za habari kubwa kila siku, leo ninayo hii post nyingine kwa ajili yako mtu wanguvu.. hii inahusu Chama cha CCM ambapo Rais Kikwete akiwa ameongozana…
Anachokiamini Rafael Benitez kuhusu kiwango cha Gareth Bale
Kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez ameamua kuingilia kati ishu inayoendelea kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale na mashabiki ambao wamekuwa wakipiga kelele…
Mjukuu wa Nelson Mandela matatani afikishwa Mahakamani!
Historia ya Nelson Mandela ni historia ya kishupavu iliyosimamia ukweli, usawa na haki na pale mtu anapojaribu kuweka doa kwenye jina la familia ya Nelson Mandela watu hawatakuelewa kabisa. Mjukuu…