Redknapp anawapa nafasi Arsenal ya kutwaa Ubingwa ila……..
Kocha wa zamani wa klabu za Tottenham Hotspur na Queens Park Rangers Harry Redknapp anakikubali kikosi cha Arsenal kuwa imara na kuwapa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza kama…
Barabara zilivyofungwa Dar baada ya Lowassa kuchukua Fomu ya Urais NEC leo.. (Pichaz)
Headlines za Siasa zinaendelea kubeba uzito wa juu Tanzania, August 10 2015 Mgombea Urais anayewakilisha UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa amefika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC na kuchukua…
Feza Feat.Chege kwenye headlines za burudani na hii mpya ‘Sanuka’…(Audio)
Baada ya ukimya aliyekuwa mshiriki wa Big Brother, Feza Kessy ameachia single yake nyingine mpya inayoitwa 'Sanuka' ndani akimshirikisha Chege. Ngoma hiyo imetayarishwa na producer Sheddy Clever. Usikilize hapa mtu…
Hivi ndivyo video ya Linah ‘No Stress’ ilivyotengenezwa South Africa (Behind The Scene)
Mkali kutoka Tanzania Linah wiki iliyopita alifanikiwa kuachia video yake ya wimbo wake mpya unaoitwa No Stress video ambayo iliongozwa na moja kati ya Madirector wakali Afrika anaitwa God Father…
Yapo hapa mengine ya Wema Sepetu kuhusu Magufuli na Lowassa..
Wakati wagombea mbalimbali wa vyama vya Siasa nchini Tanzania wakiwa na wafuasi wao wakiendelea kuingia kwenye headlines mbalimbali Aug 10 nakukutanisha na hii post ya Mrembo Wema Sepetu. Kama unamfatilia…
Mashabiki wamuunga mkono Dr wa Chelsea.
Daktari wa klabu ya Chelsea Eva Carneiro amewashukuru masabiki wa klabu hiyo ambao walichukua muda wao na kutuma ujumbe wa kumuunga mkono baada ya kocha wa klabu hiyo Jose…
Hii ni sababu inayomfanya Neymar kuzuia uhamisho wa Pedro kujiunga Man United
Baada ya kuwa kuna kila dalili ya uhamisho wa Pedro Rodriguez kujiunga na klabu ya Manchester United kukamilika akitokea FC Barcelona ya Hispania, Neymar ameomba mpango huo usitishwe kwa sasa…
Haya ndio majibu ya Petit Man kwa Soudy Brown kuhusu tetesi ndoa yake na Esma kuvunjika… #Uheard (Audio)
Kwenye mtandao wa kijamii wa @Instagram kulikuwepo na uvumi kuwa ndoa ya dada wa Diamond, aitwaye Esma na Petit ipo kwenye ugomvi baina ya wawili hao. Leo Soudy Brown kaamua…
Janet Jackson alishawahi kugoma kufanya scene ya movie na 2Pac! Sababu ilikuwa hii hapa. (Audio)
Nimekutana na interview moja aliyofanya kaka yake Tupac Shakur, Mapreme Shakur siku chache zilizopita na moja ya vitu alivyoulizwa kwenye interview hiyo ni kama ni kweli Janet Jackson alikataa kufanya…
Licha ya kipigo cha goli 2-0 Hizi ni kauli za Wenger kuhusu kusajili
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambae anafahamika kwa kutofanya manunuzi ya wachezaji kwa gharama ya juu, hadi sasa hajafanya usajili wowote mkubwa wakuongeza nguvu kikosi chake.…