Video ya magoli ya mchezo wa Real Madrid vs Sevilla hii hapa
Real Madrid jana usiku ilianza kupoteza matumaini ya ubingwa wa La Liga baada ya kupata kipigo cha kushtukiza kwa Sevilla. Madrid walifungwa 2-1 na unaweza kucheki video ya magoli hapo…
Alichosema Trey Songz kuhusu taarifa za yeye kuwa shoga
Hatimae Trey songz amezungumza baada ya tweet hii hapa chini kusambaa kwenye mitandao mbalimbali duniani na kuwafikia watu ikiwa inasomeka 'nadhani ni wakati wa kuwaambia mashabiki wangu, tukiacha utani... mimi…
Kama ulimis Liverpool vs Sunderland March 26 video ya magoli iko hapa.
Ni game ambayo mpaka inaisha matokeo yalikua ni 2-1 ambapo kama hukupata nafasi ya kuicheki, millardayo.com imekuwekea video ya magoli hapa chini ili angalau usiwe umepitwa kabisa.
Baada ya kumtukana juzi, hili ndio jipya walilopanga kufanya mashabiki wa Man U kwa kocha David Moyes
Kundi la mashabiki Manchester United linajiandaa kuchangisha fedha za kutosha kwa ajili ya kukodi ndege ambayo itapita juu ya paa la uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa jumamosi ijayo…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni March 27.
Baada ya kuwa umepitia kurasa mbalimbali za Magazeti na kusoma hii ni nafasi nyingine nayokupatia mtu wangu ni ya kusikiliza pia kilichoandikwa ikiwa ni pamoja na kuchambuliwa kabisa kutoka redioni,hapa…
Magazetini leo March 27 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Maneno ya Snura baada ya wimbo wake kufutwa kushiriki tuzo za KILI.
Washiriki wa Kili Music Awards wametangazwa March 25 2014 ambapo ndani ya washiriki hao kuna watatu nyimbo zao zimefutwa na BASATA sababu ya kukosa maadili ya kitanzania ukiwemo wimbo wa…
Msikilize Mbwiga wa March 26.
Sikiliza mtekenyo huu wa Mbwiga wa Mbwiguke leo March 26 ambao kama kawaida yake anaongelea taarifa za kimichezo upande wa mpira wa miguu. 88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa D'salaam Bonyeza…
Ripoti na matokeo ya mechi za Yanga vs Prisons – Azam FC vs Mgambo
Vilabu vya Azam FC na Yanga SC leo vimeendelea kukabana koo katika mbio za ubingwa wa ligi kuu Vodacom baada ya vyote viwili kupata ushindi kwenye michezo yao waliyokuwa wakicheza…
Kosa lililofanya mlinzi wa Rais Obama kuachishwa kazi saa kadhaa zilizopita.
Jarida la Washington Post nchini Marekani limeripoti kwamba askari watatu ambao ni walinzi wa president wameachishwa kazi kwa muda na kurudishwa nyumbani ili uchunguzi ufanyike. Askari mmoja kati ya hao…