Full time ya Uholanzi vs Mexico – matokeo na wafungaji
Mechi ya 3 ya hatua ya 16 bora ya kombe la dunia imepigwa usiku wa leo kati ya Uholanzi na Mexico. Mchezo huo uliopigwa huko Forteleza, umeisha kwa timu ya…
Maneno zaidi ya 60 aliyoyatoa Diamond baada ya mshindi wa BET 2014 kutangazwa
Dakika kadhaa baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliekua anawania pia tuzo hiyo ameandika…
Mshindi wa tuzo ya BET iliyokuwa inawaniwa na Diamond Platnumz pia.
Hii ilikua siku nyingine muhimu kwa Tanzania na Africa kwa ujumla ambapo yalikua yanasubiriwa matokeo ya tuzo ya BET sanasana kipengele wanachowania tuzo wasanii wa Afrika akiwemo Diamond Platnumz. Davido…
Hizi ndizo siku zilizobaki hadi wimbo mpya wa @Shaa_tz utoke.
Kama bado haujaona picha na video za behind the scene wakati Shaa anarekodi video ya wimbo huu basi utaziona hapa. Wimbo unaitwa Subira ukiwa ni wa pili tangu aanza kufanya…
Picha 6 na video 1 za Diamond akiwa L.A kwa ajili ya B.E.T Awards.
Diamond yupo L.A Marekani kwa ajili ya tukio la utoaji wa tuzo za B.E.T ambapo yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni picha 6 na video moja akiwa…
Umeichek video ya Kala Jeremiah aliyomshirikisha Mo Music?ipo hapa.
Inawezekana ikawa ndiyo wimbo wa kwanza kushirikishwa na msanii kubwa baada ya kuchomoza na single yake ya Basi Nenda huyu ni Mo Music ambapo Tanzania imemtambua kwa singo yake ya…
Kutoka instagram, mcheki @hotlulumichael akiimba where is my Johnny
Hii moja nimekutana nayo instagram, unaweza kuangalia hapa ambapo muigizaji Lulu anaimba wimbo unaopendwa na watu wengi hivi sasa Johnny.
Ebana umekiona kipande cha video ya Diamond ft Iyanya..kipo hapa
Diamond ameshafanya kazi nyingi ambazo bado hazijatoka, moja kati ya hizo ni audio na video yake na Iyanya. Hii hapa ni teaser ya video ya wimbo wa Bum bum akiwa…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo June 29 2014
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za…
Full time ya Brazil vs Chile na Colombia vs Uruguay
</ Hatua ya mtoano katika michuano ya kombe la dunia imeanza rasmi leo kwa michezo kati ya Brazil vs Chile na Colombia vs Uruguay. Kwenye mchezo wa kwanza, waaandaji wa…