Hizi ni picha za birthday party ya mtoto wa Kim Kardashian na Kanye West.
Kanye West na Kim Kardashian hawakutumia gharama kubwa kuandaa party ya mtoto wao akitimiza mwaka mmoja tangu azaliwe. Party hiyo ilifanyika kwenye sehemu ya nyuma ya nyumba ya Kourtney Kardashian…
Dakika 20 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa za Magazeti yakisomwa Redioni June 24.
Mara baada ya kuwa umepitia kurasa mbalimbali za Magazeti naomba utumie nafasi hii pia kusikiliza yakichambuliwa na kusomwa kupitia kipindi cha Power Breakfast,hapa yanachambuliwa na kusomwa na PJ. 87.8 Clouds…
Picha 11 za Mzee Majuto, Timoth Conrad na wengine kwenye movie mpya Kenya.
Director Timoth Conrad ambae ujuzi wake umetumika kwenye movie kadhaa za Tanzania ikiwemo 'Mdudiko' amehusika tena kuidirect movie mpya inayofanywa Mombasa na kuwashirikisha waigizaji mbalimbali akiwemo mchekeshaji Mzee Majuto. Movie…
Picha za tatoo alizochora Shetta na sababu zake.
Msanii Shetta wa bongofleva anaemiliki mawimbi na single yake ya 'kerewa' ft. Diamond Platnumz..... amechora tatoo tano kwenye mwili wake kutokana na mambo yake muhimu maishani. Tatoo moja ameandika 'muziki…
Video ya mashairi ya Prokoto @Victoria_Kimani ft. Diamond na Ommy Dimpoz
Ni single ya mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambayo kawashirikisha mastaa wa bongofleva Tanzania Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz. Wakati tukisubiria video yao, wametutengenezea video ya mashairi iliyoambatana na hii single…
#Goodnews Kwa mara ya kwanza ndege ya @fastjet yarushwa na maarubani Watanzania.
Jina la fastjet sio geni Tanzania na hii ni kutokana na kuzidi kukua kila siku kutokana na huduma inayotolewa kusafirisha abiria kutoka kona kadhaa za Tanzania kwa kuzingatia muda na…
Ile ya mabalozi wa Serengeti Platinum inaendelea.
Ni time nyingine tena ya kutazama kinachotokea kwa vijana Watanzania wanaowania kuwa mabalozi wa gambe jipya town ambalo ni Serengeti Platinum. https://www.youtube.com/watch?v=fKUuErMzIEk
Marufuku ya Mahakama kuhusu neno ‘Allah’ kutumiwa na gazeti
Hii ni moja kati ya zile kesi za kanisa katoliki zilizodumu kwa muda mrefu sana manake hii ilianza toka mwaka 2007 pale ambapo serikali ya nchi hii ilitishia kulifungia gazeti…
Leo June 24 2014 Magazetini na stori kubwa za Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Umemuona mtoto wa Nakaaya? picha na alichomuimbia viko hapa
Ni longtime kidogo ulikua hujamsikia Nakaaya na hii ni kwa sababu alikua na break ya uzazi akiwa ndio amejifungua mtoto wake wa kwanza nyumbani kwao Arusha. Mwimbaji huyu ambae ujazo…