Full time ya Brazil vs Cameroon – Mexico vs Croatia, wafungaji na matokeo
Timu za taifa za Brazil na Mexico zimefanikiwa kufuzu kwenda kucheza hatua ya 16 ya michuano ya kombe la dunia. Kwenye mechi zilizomalizika hivi punde Brazil imefanikiwa kuifunga Cameroon 4-1.…
Kilichojiri kwenye mechi za mwisho za makundi: Uholanzi vs Chile na Spain vs Chile
Michuano ya kombe la dunia imezidi kushika kasi baada ya mechi za kuzikutanisha timu Uholanzi vs Chile, na Spain vs Australia. Mechi ya Spain dhidi ya Australia imeisha kwa matokeo…
Ulikua mbali na Radio? stori 10 za AMPLIFAYA June 23 2014 ziko hapa mtu wangu.
Amplifaya ni show inayosikika Clouds FM kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa saa 1 usiku ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi za siku za kisiasa, muziki, michezo na mengine mengi ya maisha.…
Yule mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kukana dini yake,ameachiwa huru.
Kwa mujibu wa BBC, Mwanamke wa Sudan aliyehukumiwa kifo kwa kosa la kuikana imani ya dini yake na kuolewa na mwanaume anayempenda wa kikristu amechiwa kutoka gerezani. Shirika la habari…
Picha 20 za show ya Diamond Platnumz aliyoifanya Belgium Wikiendi iliyopita
Mara kwa mara tumekua tukitoa taarifa nzuri na njema juu ya muziki wa Tanzania unavyopata nafasi ya kuvuka mipaka ya nchi ambayo kwa sasa kulingana na baadhi tu ya wasanii…
Umeipata hii kutoka Kenya,kuhusu watoto wa kuanzia miaka 10 kupewa Condom??
Unaambiwa kuna sheria mpya inatarajiwa kuwasilishwa katika bunge la Senet ambayo sheria hiyo itawaruhusu watoto kuanzia miaka 10 kupewa mipira ya kondomu na dawa za kupanga uzazi. Sheria ya afya…
Single mpya ya Mapacha baada ya kumaliza beef na Clouds FM umeisikia? kashirikishwa Lulu
Katika Exclusive interview waliyofanya kupitia kipindi cha XXL ya Clouds Fm,Mapacha wamesema kwa sasa wameamua kuweka tofauti pembeni zilizokuwepo mwanzo kwani bifu waliyokuwa wameitengeneza wamegundua haikua na faida yoyote. Wimbo…
List ya wachezaji 11 watakaoachwa na Yanga msimu huu, Chuji mmoja wao
Ikiwa dirisha la usajili limeshafunguliwa tangu wiki iliyopita kwa timu mbali mbali kuanza kufanya usajili wa wachezaji na zingine zikianza mazoezi, timu ya Young Africans imeweza kuweka wazi majina ya…
Wajumbe wa Baraza kuu Chadema wametoa hili tamko lao kwa nchi nzima leo.
Wajumbe wa Baraza kuu la Chadema June 23 2014 walikua na mkutano mkuu wa chama hicho kwa umma ambao ulihusisha waandishi mbalimbali wa habari wakiwa zaidi ya 80. Athumani H.…
Huyu ndiye msanii mwingine wa Bongo Fleva aliyeamua kufunga ndoa ya kimya kimya.
Anaweza kuingia kwenye stori za siku tena kubwa na si ukubwa wa kuoa tu ni ukubwa wa kufunga ndoa tena ikiwa ya kimya kimya bila baadhi ya mastar wenzake kuhusika…