Uliipata ile stori ya mmoja kati ya Kanga moko kupigwa risasi?ukamilifu wake upo hapa.
Ni taarifa iliyotoka jioni ya June 17 ambayo ilimhusisha mmoja kati ya kina dada wanaounda kundi la Kanga Moko kupigwa risasi na polisi wakiwa kwenye sherehe,ameongea dada aliyepigwa risasi na…
Kuhusu Marekani kuiwekea vikwazo Uganda baada ya kupitisha sheria kupinga ushoga.
Marekani imeiwekea Uganda vikwazo kwa kupitisha sheria zinazopinga mapenzi ya jinsia moja katika taifa hilo. Inasema vikwazo hivyo vitajumuisha marufuku ya wanaharakati waliopigia debe sheria hiyo kupitishwa kutoingia Marekani. Ikulu…
Video mpya ya @VanessaMdee – ‘come over’ iko hapa
Ni video ya pili kutoka kwa Vanessa Mdee,ambayo ilizinduliwa weekend iliyopita na pia watu waliohudhuria walipata nafasi ya kusikiliza wimbo mmoja wa Vanessa Mdee unaoitwa Hawajui,video hi imefanywa na Director…
Ulikua mbali na redio?hizi ni dakika 21 mtu wangu za kusikiliza magazeti yakisomwa Redioni June 20.
Inawezekana wakati magazeti haya yanasomwa na kuchambuliwa labda ulikua mbali na redio,kama kiapo changu kilivyo kwako mtu wangu wa nguvu chochote kinachonifikia ni lazima ukipate,hizi ni dakika 21 za kusikiliza…
Magazetini leo June 20 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Full time ya England vs Uruguay – walichofanya Suarez na Rooney hivi hapa
Mbio za kuwania ubingwa wa dunia zinazidi kushika, na hivi punde umemalizika mchezo kabambe uliowakutanisha Uruguay dhidi ya England. Matokeo ya mchezo huo ni ushindi wa 2-1 wa Uruguay. Luis…
Stori 10 za AMPLIFAYA June 19 2014 kwako uliezikosa mtu wangu
Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki,…
Goli la Van Persie laleta balaa – angalia baadhi ya picha za internet watu wakijaribu kumuiga
Robin van Persie alifunga moja ya magoli mazuri sana kwenye michuano ya kombe la dunia inayoendelea hivi sasa nchini Brazil, kwenye mchezo dhidi ya Spain ambao Uholanzi walishinda 5-1. Van…
Kuhusu mtoto aliyezaliwa na mkia anayeabudiwa kama Mungu huko India.
Mvulana mdogo aliyezaliwa na mkia unaofikia urefu wa inch saba anatarajia kufanyiwa upasuaji ili utolewe licha ya kuwa anaabudiwa kama Mungu na watu wa jamii yake. Arshid Ali Khan, mwenye…
Tazama namna kutolewa kwa Spain kulivyomchanganya kocha Vicente Del Bosque
Timu ya taifa ya Spain jana usiku ilivuliwa ubingwa wa dunia baada ya kukubali kipigo cha pili kwenye michuano ya kombe la dunia kwa kufungwa 2-0 na Chile. Matokeo hayo…