Huyu ndio alifariki Tanzania, mwili wake ukazikwa na sasa amejitokeza akiwa hai.
Unaweza kudhani labda ni simulizi za kusisimua ambazo pengine huwa nyingi zinaishia kuandikwa tu kwenye majarida na makala mbalimbali lakini hii ni tofauti mtu wangu,unaambiwa huyu jamaa alifariki na ndugu…
Umesikia ujio mpya wa Chege na Temba,hizi ni dakika 3 za Wauwe.
Baada ya kutoka taarifa kadhaa za video ambayo ndani yake pia yupo Jokate,leo Chege na Temba wameamua kuuachia rasmi wimbo wao walioupa jina la Wauwe.zitumie hizi dakika 3 kusikiliza na…
Kuhusu polisi Kenya kumkamata anaeendesha Twitter ya Al Shabaab.
Maafisa wa polisi wa Kenya wamemtia nguvuni mshukiwa anayetuhumiwa kuendesha akaunti ya Twitter ambayo ina uhusiano na kundi la kigaidi la Al shabaab na uliotoa habari kwamba Al shabaab walihusika…
Kilichotokea kwa kituo cha TV kilichomuonyesha Rais Museveni kasinzia bungeni.
Serikali ya Uganda imekifungia kituo kikubwa cha Televisheni cha nchi hiyo NTV kuripoti habari zozote zinazomhusu rais baada ya kurusha hewani picha zinazomuonyesha Rais Yoweri Museveni akiwa amesinzia bungeni. Mkurugenzi…
Taarifa nyingine ya leo kuhusu kesi ya mume wa Flora Mbasha.
Hii ni taarifa ambayo ilianzia kusambaa kwenye simu watu kutumiana sauti za sehemu ya kilichotokea kwenye tukio, baadae ikaingia kwenye mitandao mbalimbali zikiwemo blogs na facebook, na sasa ni mpaka…
Hii ni ya Facebook kutokuwa hewani kwa dakika 30
Wamiliki wa mtandao wa kijamii wa Facebook ambao una watumiaji wengi zaidi duniani wamelazimika kutoa maelezo juu ya kuondoka hewani kwa mtandao huo kwa muda wa dakika 30 dunia nzima.…
Hawa jamaa walijiona wanafanana na Diamond na Shetta wakaamua kurekodi hii video ya ‘kerewa’
Tukiwa tunasubiri video ya Kerewa ambayo ni ya kwanza kwa Sheta kuifanya nje ya Tanzania, imetoka hii video ya Kerewa kutoka mtaani ambapo ndani yake utamuona Shetta na Diamond kutoka…
Maneno ya Director Mtitu kuhusu Kesi ya Emanuel Mbasha.
Zikiwa siku chache tangu kesi yake ianzwe kusikilizwa kwenye mahakama ya wilaya ya Ilala Dar es salaam Emmanuel Mbasha ambaye ni mume wa mwimbaji wa nyimbo za injili Flora Mbasha,baadhi…
Hiki ndicho kiasi kingine cha Gesi kilichogundulika Tanzania
Ukitoa sehemu ambazo umekwisha zisikia kuwa zimegundulika nishati ya Gesi unaambiwa Kampuni ya Statoil ya Norway na mshirika wake ExxonMobil wamegundua kiasi kingine kikubwa cha gesi katika Bahari ya Hindi.…
Dakika 14 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa za magazeti June 19.
Tumia dakika hizi 14 kusikiliza kilichoandikwa kwenye magazeti mbalimbali leo June 19 na hapa yanasomwa na kuchambuliwa kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast na Paul James PJ. 88.4 Clouds Fm…