YouTube kufungia baadhi ya Video za wanamuziki, Adele ni mmojawapo.
Mtandao wa YouTube unatarajia kuondoa Video za wanamuziki Adele, Arctic Monkeys na Radiohead, kutokana na lebo za muziki walizopo kukataa kukubaliana na masharti ya mtandao huo. Kampuni ya Google, inayomiliki…
Uko mbali na radio mtu wangu? nimekurekodia magazeti ya leo yakisomwa
Teknolojia inaniruhusu kukuwekea magazeti yaliyosomwa Redioni ili angalau usipitwe mtu wangu... ndio maana nakualika kwa nafasi yako kusikiliza dakika hizi 18 za magazeti yakisomwa kwenye kuperuzi na kudadisi ya Power…
Majibu ya Ridhiwani Kikwete kuhusu NEC na kwa wanaosema anamiliki vituo vya mafuta.
Inawezekana hili likawa moja kati ya maswali uliyonayo na hujawahi kupata nafasi ya kumuuliza muhusika au inawezekana ikawa ni ishu ambayo umewahi kuisikia au kuisoma kwenye chombo chochote cha habari.…
Magazeti ya leo June 18 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Dili alilolipata Jokate kwenye sabuni inayotumia sura yake! kazi ndio inaanza
Mrembo Jokate anakwambia alilipata hili dili mwishoni mwa mwaka 2013 kwa mkataba wa miaka miwili sura yake kutumika kwenye mabango, matangazo ya TV, matangazo mengine pamoja na kwenye sabuni yenyewe.…
Video mpya ya wimbo wa All Stars – miaka 50 ya Tanzania.
Kwa nguvu waliyonayo na urahisi wa kuwafikia Watanzania wengi, Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya waliamua kufanya tukio la kihistoria na kuungana kuimba wimbo wa miaka 50 ya Tanzania.…
Ulikua mbali na Radio mtu wangu? habari zote 10 za AMPLIFAYA June 17 2014 ziko hapa
Amplifaya ni show ambayo husikika Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM saa moja usiku ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku zinazotoka kwenye kona mbalimbali kama siasa, muziki,…
Kwa hiyo G Unit ndio imerudi…. na hii ndio video yao mpya
Ni makundi mengi yalimiliki headlines kwenye chati za juu za muziki duniani lakini sasa hatuyasikii tena na mengine yalijaribu kuungana baada ya kuvunjika lakini ikashindikana. Time hii G Unit wataweza…
Full Time ya game 3 za kombe la dunia June 17
Kwenye game zilizochezwa usiku wa June 17 2014 matokeo yake ni Russia 1 (Kerzhakov 74' ) - 1 Korea Republic goli lao lilifungwa na K Lee kwenye dakika ya 68.…
Dakika 3 za Naibu Waziri wa mawasiliano January Makamba. @JMakamba
Nimekutana na hii video ya dakika 3 iliyotayarishwa na Kikoi Media ikimuonyesha Mbunge wa Bumbuli na pia Naibu Waziri wa mawasiliano, Sayansi na teknolojia January Makamba kwenye sehemu ya majukumu…